Kwa wanaijua na waliowahi kusafari na ndege watakubaliana na ukweli kuwa milango ya ndege inaweza kufunguliwa na mtu akiwa ama nje ya ndege au ndani ya ndege.
Wahudumu wa ndege wamefundishwa...
Siku moja mbwa wa uswazi akiwa kakonda na manyoya yamenyonyoka kwa kukosa matunzo, alianza kukatiza mitaa akitafuta msosi.
Mbwa huyo alizunguka sana ghafla akajikuta ushuani. Akamuona mbwa wa...
Kwa Prof Mbarawa sasa majipu yanalipuka kila uchao ndani ya wizara yake.
Tumeona ya Precision Bukoba, tumesikia ya ndege za Air Tanzania kuwa grounded.
Huko SGR na matreni bado kizungumkuti, mapya...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema “Tulikuwa tunaangalia magereza yetu tukabaini waliofungwa na walio mahabusu idadi yao ni kama ilikuwa sawa, wengi wao ni kesi za kubambikwa ndio maana unakuta mtu...
Kuna maneno aliwahi kuyasema Mzee Msekwa, yapo Youtube na kwingineko huko...kwamba wananchi wanaweza kumvumilia kiongozi katili na mbaya kwa miaka mitano tu lakini si zaidi ya hapo...zaidi ya hapo...
Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS...
Ajira nyeti makwetu kigezo ni JKT na hasa SUMA JKT.
Wenzetu wana lenga graduates:
DCI targets graduate officers for new crime prevention unit
Jamii mbili hizi zinafanana kijiografia. Wote ni...
1.iweje mabehewa ya umbali mrefu yatangulie wakati reli yenyewe kipande cha dar to moro kinategemea kuanza Feb 2023?
2.Picha ya treni na mabehewa yaliyoagizwa na serikali na kuwekwa kwenye tovuti...
Haki ni haki bila kujali maslahi binafsi ya awaye yote. Kwa bahati mbaya tumekuwa wabinafsi tusiotaka kuwa sehemu ya kupigania haki hizo.
Tumekuwa kama wapenzi watazamaji wengine wanapojaribu...
SHAKA ANAANZA KWA KUSEMA KUWA, RAIS SAMIA NI KIOO KINACHOAKISI THAMANI YA TANZANIA NA WATANZANIA,
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema...
Waziri Byabato: "tumelazimika kuleta wakandrasi wenye gharama kubwa ili kurekebisha hitilafu kwenye mitambo ya Gesi ya Kinyerezi"
Baada ya Mvua kunyesha, wamebadili visingizio?
Bado CCM mnazidi...
Nilikua bado nina shaka kama kweli uongozi wa mama unarudisha wahuni na wapigaji wa awamu ya nne ila matokeo ya chaguzi za CCM zinazoendelea ndio zimenitoa shaka.
Kwa mfano uchaguzi wa Karamagi...
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake
Kwa mfano...
Bila kuwa na maneno mengi naomba kuwauliza vijana wa ccm waliopo DODOMA kwenye matukio muhimu ya chama chao na hicho kinachoitwa Green Marathon maswali yafuatayo.
1. Leo UVCCM wanainjoi na...
Kila kunapokuwa na jambo ka moto mara zote CCM huja na vijambo Ili kuwatoa wananchi kwenye umakini. Wote tunajua kuwa moja, kuna mgao mkali sana wa umeme ambao hata haueleweki, kuna mgao wa maji...
Nchi yetu pendwa, kipenzi cha nchi nyingi duniani, kilimbilio la watu wote waliokua wakikandamizwa kwenye nchi zao hakuwahi kutawaliwa na Rais wa ajabu kama Magufuli.
Rais ambaye hakuwapenda raia...
PONGEZI UVCCM WILAYA - SALAMU ZA PONGEZI KWA WASHINDI NA WASHIRIKI WOTE KATIKA UCHAGUZI NGAZI YA UVCCM WILAYA
Na Komredi, Ndugu Victoria Charles Mwanziva: Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na...
Waziri wa zamani wa Mali Asili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangallah kupitia Twitter ameonesha wasiwasi juu ya Ubora wa Mabehewa ya Treni za SGR ambayo picha zake zimeonekana zikisambaa mitandaoni na...