Swali la kimaadili kwa UVCCM GREEN MARATHON DODOMA.

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
11,463
27,464
Bila kuwa na maneno mengi naomba kuwauliza vijana wa ccm waliopo DODOMA kwenye matukio muhimu ya chama chao na hicho kinachoitwa green marathon maswali yafuatayo !
1. Leo UVCCM wanainjoi na kunufaika kwa ccm kuwa chama dola je wanawaza nini Juu ya vijana wenzao wa vyama vingine hasa chadema namna wanavyokuwa treated na dola?
2. Kwakuwa kila lenye mwanzo halikosi mwisho je na kwakuwa wao ni vijana na ni jambo la wazi mwamba ccm imetoka mbali kuliko inapokwenda ikiwa na maana kwamba ni wazi ccm itawafia mikononi mwao sasa je uvccm watakuwa tayari na wao kufanyiwa yaleyale wanayowafanyia wenzao leo?
 

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
11,463
27,464
Tunaomba na chadema muanzishe red marathon sio lazima iwe kama ya uvccm wasije sema mmewaiga ili tuone ustahimilivu na uwezo wa dola kubalance haki.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom