Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Hamza Karama, Kariakoo DSM Kwa ufupi Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo Maamuzi ya Rais Samia ya kutuma timu ya mawaziri Kariakoo...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Jambo Jambo? Wakati wa uzinduzi wa barabara ya Mto wa Mbu-Loliondo yenye kilometa 217 na sehemu ya wasso -sale yenye kilometa 49 mhe.makamu wa raisi Dkt.Mipango amekabidhiwa kifimbo hicho...
0 Reactions
13 Replies
931 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha wanasheria Tanganyika TLS Wakili Charles Rwechungura amemtangaza Harold Sungusia kuwa rais mpya wa Chama hicho baada ya matokeo ya uchaguzi, Huku...
7 Reactions
21 Replies
4K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda, amesema Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, inaanda Wiki ya Kitaifa ya Ubunifu na Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania yatangaza mpango wa kujenga na kurusha setelaiti yake angani. Picha: Ikulu Tanzania Katika kukuza na kuendeleza tekinolojia, Tanzania kupitia rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Akizungumza na Wafanyabiashara wenzake wa Kariakoo, Ndugu Mbwana ambaye anatajwa kama kiongozi wa wafanyabiashara hao amewaasa Wafanyabiashara wote wafungue maduka yao kwa vile Waziri Mkuu...
32 Reactions
134 Replies
10K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, yule Mwamba wa siasa za Tanzania na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, leo anapiga mikutano mitatu mfululizo kwenye Jimbo la Buyungu katika ili Operesheni...
10 Reactions
45 Replies
4K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameahidi kutoa ndege Maalum itakayowapeleka Timu ya Yanga kwenye mchezo wa Fainali nchini Algeria pamoja na zawadi ya Shilingi Milioni 20 kwa kila goli kwenye mchezo...
7 Reactions
41 Replies
7K Views
Kwa kweli TANROADS barabara zenu huku jimbo la kibamba ni mbovu mno tena mno. Mnajua lami jimbo hili ni chini ya asilimia tano. Mbona hamuyaonei huruma ya watu? Mbona hamuonei huruma wananchi...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwema wabunge wa bunge la Tanzania naomba kufahamu Ndugai alipo sema tutapigwa mnada mlitaka ajiuzulu lakini Mwigulu Madelu mpo kimya huu sio unafiki?
0 Reactions
0 Replies
393 Views
Samia Suluhu Hassan katika makusanyo ya Kodi, amepanda kutoka trilioni 1.2 mpaka trilioni 2, swali la kujiuliza, hii Kodi ya bilioni 800 nani alikuwa anakwepa kuilipa? Na je akibanwa? Tunatarajia...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu , bado angali Mkoani Kigoma Kwenye ile Operesheni Kabambe ya Chama chake ya 255 , ambako leo amepangiwa kupiga mikutano mitatu mfululizo ya hafhara...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Mradi wa Minara ya Kurusha Matangazo ya Televisheni Ardhini(DTT) ya Kampuni ya Azam Media Limited, Makao...
7 Reactions
97 Replies
12K Views
Dalili hazionyeshi kabisa kama Freeman Mbowe anajiandaa kustaafu Dalili pia hazionyeshi kama baada ya Halima Mdee kuasi Mbowe aliandaa mtu mwingine wa kumrithi kama Mwenyekiti wa Chadema...
0 Reactions
5 Replies
515 Views
Mama Anaupiga mwingi. Kila Hilo 20milion, Hawa wanao wametoka shule waangalie Usafiri wao.
0 Reactions
3 Replies
551 Views
Kama tulivyowaambia hapo awali , kwamba hii Operesheni ya Chadema ni ya nchi nzima , tena ni ya bila kukoma , yaani ni mfululizo hadi Katiba mpya imepatikana. Hapa ni kata ya Lupembe huko Njombe...
2 Reactions
10 Replies
633 Views
Ni Ushauri mdogo tu kwa Mwanayanga mwenzangu Dr Mwigulu PhD kwamba hii tekiniki ya " Kupendwa" kwa CCM ya sasa hautatoboa JK aliitumia na Nusura achemke sema tu yeye anapendwa kiukweli yaani...
3 Reactions
8 Replies
736 Views
Dsm inahitaji watu kariba ya kina Chalamila. Jiji lilipoa sana hili. Nina imani kwa ujio wa Chalamila, sasa taarifa za habari zitaanza kufuatiliwa na watu wengi kuliko ilivyokuwa hapo kabla...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Mamlaka za kodi ni "polisi wa mapato" inachukua halali ya serikali, na kawaida, ni jbo gumu kwenda kuchukua kwa mtu fedha yake, lazima alalamike. Watanzania hatujiulizi kwa nini makusanyo Sasa ni...
0 Reactions
4 Replies
736 Views
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba pamoja na migomo ya Wafanyabiashara wa Kariakoo inayoendelea huko Dar es salaam, huku Kigoma Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kinazindua Operesheni...
15 Reactions
70 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…