Fatma Karume amjibu Shaka kwamba Ubaguzi wa kisiasa waliasisi CCM Kule Zanzibar na alipowaambia walimwita Msaliti

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,933
141,901
Mjukuu wa Baba wa taifa la Zanzibar mh Fatma Karume amesema ubaguzi wa kisiasa waliasisi CCM Kule Zanzibar na alipowaambia walimwita Msaliti

Karume amewataka CCM waruhusu mikutano ya Siasa na waache ifanyike kwa Uhuru
 
Fatuma anamfedhehesha sana baba yake, bila kujalisha Uhuru alionao anatakiwa kutambua thamani na umuhimu wa CCM sio tu kwa kwake ila hata kwa familia yake.
 
Fatuma anamfedhehesha sana baba yake, bila kujalisha Uhuru alionao anatakiwa kutambua thamani na umuhimu wa CCM sio tu kwa kwake ila hata kwa familia yake.
Kwa matendo ya CCM na serikali zake Zanzibar na Tanganyika hawastahili heshima yoyote. Chaguzi mbali mbali zimegharimu maisha ya watu wengi sana ili kuwezesha CCM iendelee kubaki madarakani.
 
Mjukuu wa Baba wa taifa la Zanzibar mh Fatma Karume amesema ubaguzi wa kisiasa waliasisi CCM Kule Zanzibar na alipowaambia walimwita Msaliti

Karume amewataka CCM waruhusu mikutano ya Siasa na waache ifanyike kwa Uhuru
Basi wabaki ACT PEKE YAO

USSR
 
Fatuma anamfedhehesha sana baba yake, bila kujalisha Uhuru alionao anatakiwa kutambua thamani na umuhimu wa CCM sio tu kwa kwake ila hata kwa familia yake.
Fafanua
Makongoro Nyerere alihamia NCCR na akawa MP, ulisikia MWALIMU akilalamika kwa namna ulichoandika!
MWALIMU aliwahi kusema CCM sio baba yangu Wala Mama yangu!
Think big we kijana wa shule ya kata!
Kutoa mawazo hupaswi kufgwa na chama Cha mzazi wako!
Kwani ccm ilikua inatoa matumizi ya familia ya karume kama MSAADA? Au hisani? Ni kwa sababu Alikua kiongozi wa chama na serikali, na chama kinapokiuka misingi yake hakikwepi lawama au kunyooshewa kidole.
Ndio mana MWALIMU alisisitiza tujisahihishe. Kichwa ngumu wewe
 
Makongoro alipogombea ubunge NCCR alimfedhehesha Nyerere?
Nimekauliza hapo Juu nasubiri kajibu nimekaa pale! Nina wasi wasi pia na Aina ya watu tunaojadiliana nao kiumri, kielemu, na exposure Yao katika historia na siasa ya Tanzania kwa ujumla. Mana unatamani awepo karibu umtie keleb
 
Mjukuu wa Baba wa taifa la Zanzibar mh Fatma Karume amesema ubaguzi wa kisiasa waliasisi CCM Kule Zanzibar na alipowaambia walimwita Msaliti

Karume amewataka CCM waruhusu mikutano ya Siasa na waache ifanyike kwa Uhuru
Screenshot_20221130_223010.jpg
 
Nyie mnaompinga Fatma Karume ni weupe kichwani na ni mabox matupu
Wakati wa kuipigania uhuru wa Taifa hili TANU ikijitanabaisha kama multiracial party ( chama Cha watu wa tangi zote) provided TU wanaitakia Mema (uhuru) Tanganyika, Kuna mkutano uliofanyika Kule Tabora 1959 Tanu ikagawanyika katika msimamo huo na Mtemvu akainzisha ANC (Africa for Africans) na uhuru kwa njia ya mabavu, Jambo ambalo MWALIMU hakulipenda kanisa! Ndio maana hata wanazuoni hapa JF nawaomba mtuletee cabinet ya Kwanza ya MWALIMU kama ni ya watu weusi Tu? Au Africans only? Naamini jibu litakua kulikua na multiracial members?
Sasa hii ccm mambo Leo ya vijana wa shule za kata ndio waasisi wa ubaguzi wa rangi, dini, na kabila!
Utaskia wakiitana sukuma gang au chaggadema au chadema ya walutery CUF ya waislamu! Ilimradi TU waharibu Hoja zenye mantiki na maslahi kwa Taifa letu!
CCM ya sasa sio aliyoacha MWALIMu!
Leo wameguswa kidogo TU tena na Mura huko Tarime wametoa press release as if wao sio waasisi na watendaji wa matendo hayo na wakiukaji wakubwa wa ahadi namba ya mwanaccm iligoasisiwa na Tanu!
 
Una ushahidi?
Hujui kilichomkuta Ismail Jusa, hujui Kuna watu mpaka Leo walikimbilia Huko Shimoni Mombasa na wengine kupoteza uhai!
Yohana Mbatizaji Alikua na ujasiri wa kuwaambia watu ukweli kama alivyowambia Askari wasibambike kesi na wasishuhudie uwongo!
Kama alivyomlaumu Herode kwa kumtwaa mke wa nduguye!
Ila John wewe natafuta kundi la kukuweka!
Kuna kama Kule zanziberi kalisema bungeni kuwa Zanzibar ilitwaliwa kwa mapinduzi kutoka kwa Sultan hivyo CUF wasitarajie kuwa wataipata Zanzibar kupitia Kura! Mungu sio abdala baada ya Muda mfupi kakalamba mchanga! Mungu fundi Yohana!
 
Mjukuu wa Baba wa taifa la Zanzibar mh Fatma Karume amesema ubaguzi wa kisiasa waliasisi CCM Kule Zanzibar na alipowaambia walimwita Msaliti

Karume amewataka CCM waruhusu mikutano ya Siasa na waache ifanyike kwa Uhuru
Haka kabibi nako kaolewe kaachane na ukoo wa wazazi wake kanakera.
 
Mjukuu wa Baba wa taifa la Zanzibar mh Fatma Karume amesema ubaguzi wa kisiasa waliasisi CCM Kule Zanzibar na alipowaambia walimwita Msaliti

Karume amewataka CCM waruhusu mikutano ya Siasa na waache ifanyike kwa Uhuru
Karume alilikuta taifa la Zanzibar alivyotokea kwao Nyasalanda. Msilazimishe mambo.
 
Fatuma anamfedhehesha sana baba yake, bila kujalisha Uhuru alionao anatakiwa kutambua thamani na umuhimu wa CCM sio tu kwa kwake ila hata kwa familia yake.
Kamfedhehesha kwa vipi! Zanzibar si nchi ya baba yake, pia CCM haina thamani yoyote zaidi ya ukatili walionao.
 
Back
Top Bottom