Kuna nini kwenye miradi ya kuzalisha umeme ya gesi na mafuta mpaka iwe chanzo cha kuibia Watanzania na kuwapora nishati ya umeme?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,087
6,568
Kwa nini watawala wasio na nia njema na CCM hawataki mradi wa JNHP ukamilike na kutatua kero ya umeme hapa nchini?

Kisingizio kinakuwa hali ya hewa.

Tangu mlete miradi ya na majenereta ya mafuta na gas tukawa tunaibiwa na Dowans Aggrekoz, Iptl na utapeli wa Richmond nyie CCM vibaka mbona hamna huruma?

Mnataka kuamisha umma kuwa Kinyerezi 1,2,3, mpaka 10 ndio suluhu?

Mbona wachina wanakomaa zaidi na Hydropower? Ndio kusema tunaibiwa kupitia gas na mafuta?
 
Kwenye miradi ya kuzalisha umeme huwa Kuna harufu Kali na mbaya sana Kama ya mzoga hasa ufisadi wa pesa za umma ,walio ndani ya chama za zamani hutumia fursa hiyo kupata ukwasi usio tika shaka kabisa.

Na ukitaka kuchimba zaidi kujua wakinanani wapo nyuma ya mikataba hiyo ni sawa na kutafuta nyeti ya kuku.

"Mzee anaweza shindwa kulinga shabaha vizuri kwa kutumia jiwe lakini sio kwa kutumia mdomo wake"
 
Kwa nini watawala wasio na nia njema na CCM hawatati mradi wa JNHP ukamilike na kutatua kero ya umeme hapa nchini?

Kisingizio kinakuwa hali ya hewa.

Tangu mlete miradi ya na majenereta ya mafuta na gas tukawa tunaibiwa na Dowans Aggrekoz, Iptl na utapeli wa Richmond nyie CCM vibaka mbona hamna huruma?

Mnataka kuamisha umma kuwa Kinyerezi 1,2,3, mpaka 10 ndio suluhu?

Mbona wachina wanakomaa zaidi na Hydropower? Ndio kusema tunaibiwa kupitia gas na mafuta?
Kwa hiyo kweli mradi wa bwawa ndio hakuna Upigaji? Akili za simbilisi hizi..

China ndio role model wako? Ulitaka wakomae na Nini Kama hawana gas?

Mwisho tuwekee energy mix ya China.
 
Kwa hiyo kweli mradi wa bwawa ndio hakuna Upigaji? Akili za simbilisi hizi..

China ndio role model wako? Ulitaka wakomae na Nini Kama hawana gas?

Mwisho tuwekee energy mix ya China.
Aise ombeni Mungu mtu kama mimi kamwe nisipate nafasi nchi hii, hizi lugha zenu za kiburi na dharau mtazirudisha ndani yenu na kufyata mikia yenu hiyo inayowapa dharau kama hizi....
 
Aise ombeni Mungu mtu kama mimi kamwe nisipate nafasi nchi hii, hizi lugha zenu za kiburi na dharau mtazirudisha ndani yenu na kufyata mikia yenu hiyo inayowapa dharau kama hizi....
Jikite kwenye hoja sio kioja..

Ukileta ujinga tuna ku fix before kuleta madhara zaidi
 
Back
Top Bottom