Viongozi wa Serikali ya CCM wengi wana Kashfa za Rushwa na Ufisadi.


Mkwawa

Mkwawa

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Messages
1,323
Likes
265
Points
180
Mkwawa

Mkwawa

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2011
1,323 265 180
Vyama vya upinzani vitaendelea kuvuna makada wa CCM wenye vyeo, wabunge , makatibu wakuu -sababu kubwa Serikali ya CCM haina mfumo wa kumsaidia mwanadamu kujikomboa.

Mawaziri wengi wa serikali ya CCM wana Kashafa za ubadhirifu, rushwa etc kwasababu mfumo ndio unaiiba.

Chama chao kimekuwa kikiendeshwa kwa fedha za umma -zinatoka serikali kwenda kwa chama chao kwa mtindo wa uhujumu, ufisadi na wizi. Hii ndio sababu kubwa wanashindwa kuwashitaki viongozi wao wanaotajwa kuhusika na ufisadi.

Serikali ndio yenye Takukuru, Magereza na DDP - Kina Mnyeti wanatakiwa kushitakiwa sio kupandishwa vyeo.

Serikali ya CCM itasaidia sana wananchi wakiacha kupiga mayowe fulani mwizi, fulani fisadi na badala yake wawafungulie mashitaki. Wao ndio wenye Dola.

Wasisubiri wakikimbiwa ndio wakukumbuke kuwa mtu ni fisadi au mwizi au mhujumu - hata sasa wananafasi ya kukamata na kushitaki. Wasiishie kukamata wapinzani wakifanya mikutano na kutoa mawazo yao wawakamate hao majangili wao.

Akivuka mto ndio waanze kelele tutawashangaa sana !!!!

#2020TunaizikaCCM#MlangoWaIkuluItakuwaKasheshe#
 
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
29,050
Likes
75,237
Points
280
Age
18
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
29,050 75,237 280
Laiti wangejua.....
 

Forum statistics

Threads 1,235,354
Members 474,523
Posts 29,219,819