Baada ya kutishwa na Ziara ya CHADEMA, Hatimaye Nape Nnauye afika Jimbo la Mtama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,730
218,294
Tumeonya mara kadhaa humu kwamba nguvu ya CHADEMA siyo Mchezo, ziara ya siku mbili tu ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho, John Heche kwenye Jimbo la Mtama, Imemfanya Nape Nnauye aliyekimbia kwao muda mrefu kurejea.

Bali haifahamiki ameenda kufanya nini, lakini ameonekana mitaani akikusanya Vijana wasio na kazi (wazurulaji) na kushirikiana nao kudeki barabara, huku akitaja jina la Rais Samia, bado haijajulikana kudeki barabara na kutaja jina la Rais kulikuwa na maana gani .
 
Tumeonya mara kadhaa humu kwamba nguvu ya Chadema siyo Mchezo , ziara ya siku mbili tu ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho , John Heche kwwnye Jimbo la Mtama , Imemfanya Nape Nnauye aliyekimbia kwao muda mrefu kurejea
Alitumia helikopta? Maana haishiwi mbwembwe na mikogo uchwara.Na kwenye upigaji deki aliweza kukunja magoti kweli?

Nakumbuka alitembeaga kwa magoti kutoka geti la kwanza hadi sebule ya ikulu na yalichubuka sana.😂😂😂😂
 
Mushaanza na siasa zenu uchwara.
Chama ambacho kina mbunge mmoja tu (wakuchaguliwa) bungeni, kinawezaje kumtisha Nnauye?

Tuacheni wananchi tufuatilie kombe la Dunia.
 
Tumeonya mara kadhaa humu kwamba nguvu ya CHADEMA siyo Mchezo, ziara ya siku mbili tu ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho, John Heche kwenye Jimbo la Mtama, Imemfanya Nape Nnauye aliyekimbia kwao muda mrefu kurejea.

Bali haifahamiki ameenda kufanya nini, lakini ameonekana mitaani akikusanya Vijana wasio na kazi (wazurulaji) na kushirikiana nao kudeki barabara, huku akitaja jina la Rais Samia, bado haijajulikana kudeki barabara na kutaja jina la Rais kulikuwa na maana gani .
NA Mama yetu ANAENDA
 
Back
Top Bottom