Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda, amesema Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, inaanda Wiki ya Kitaifa ya Ubunifu na Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na...
Tanzania yatangaza mpango wa kujenga na kurusha setelaiti yake angani. Picha: Ikulu Tanzania
Katika kukuza na kuendeleza tekinolojia, Tanzania kupitia rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan...
Akizungumza na Wafanyabiashara wenzake wa Kariakoo, Ndugu Mbwana ambaye anatajwa kama kiongozi wa wafanyabiashara hao amewaasa Wafanyabiashara wote wafungue maduka yao kwa vile Waziri Mkuu...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, yule Mwamba wa siasa za Tanzania na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, leo anapiga mikutano mitatu mfululizo kwenye Jimbo la Buyungu katika ili Operesheni...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameahidi kutoa ndege Maalum itakayowapeleka Timu ya Yanga kwenye mchezo wa Fainali nchini Algeria pamoja na zawadi ya Shilingi Milioni 20 kwa kila goli kwenye mchezo...
Kwa kweli TANROADS barabara zenu huku jimbo la kibamba ni mbovu mno tena mno. Mnajua lami jimbo hili ni chini ya asilimia tano. Mbona hamuyaonei huruma ya watu? Mbona hamuonei huruma wananchi...
Samia Suluhu Hassan katika makusanyo ya Kodi, amepanda kutoka trilioni 1.2 mpaka trilioni 2, swali la kujiuliza, hii Kodi ya bilioni 800 nani alikuwa anakwepa kuilipa?
Na je akibanwa? Tunatarajia...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu , bado angali Mkoani Kigoma Kwenye ile Operesheni Kabambe ya Chama chake ya 255 , ambako leo amepangiwa kupiga mikutano mitatu mfululizo ya hafhara...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Mradi wa Minara ya Kurusha Matangazo ya Televisheni Ardhini(DTT) ya Kampuni ya Azam Media Limited, Makao...
Dalili hazionyeshi kabisa kama Freeman Mbowe anajiandaa kustaafu
Dalili pia hazionyeshi kama baada ya Halima Mdee kuasi Mbowe aliandaa mtu mwingine wa kumrithi kama Mwenyekiti wa Chadema...
Kama tulivyowaambia hapo awali , kwamba hii Operesheni ya Chadema ni ya nchi nzima , tena ni ya bila kukoma , yaani ni mfululizo hadi Katiba mpya imepatikana.
Hapa ni kata ya Lupembe huko Njombe...
Ni Ushauri mdogo tu kwa Mwanayanga mwenzangu Dr Mwigulu PhD kwamba hii tekiniki ya " Kupendwa" kwa CCM ya sasa hautatoboa
JK aliitumia na Nusura achemke sema tu yeye anapendwa kiukweli yaani...
Dsm inahitaji watu kariba ya kina Chalamila. Jiji lilipoa sana hili.
Nina imani kwa ujio wa Chalamila, sasa taarifa za habari zitaanza kufuatiliwa na watu wengi kuliko ilivyokuwa hapo kabla...
Mamlaka za kodi ni "polisi wa mapato" inachukua halali ya serikali, na kawaida, ni jbo gumu kwenda kuchukua kwa mtu fedha yake, lazima alalamike.
Watanzania hatujiulizi kwa nini makusanyo Sasa ni...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba pamoja na migomo ya Wafanyabiashara wa Kariakoo inayoendelea huko Dar es salaam, huku Kigoma Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kinazindua Operesheni...
Ni mchumi nguli aliyesoma vyuo vya ndani na nje kimataifa. Ana uzoefu mkubwa kuanzia ukufunzi wa uchumi chuo kikuu, naibu katibu mkuu wizara ya fedha, katibu mkuu wizara ya biashara na uwekezaji...
Watanzania tuna changamoto nyingi sana lakini umbeya na majungu nahisi ndo mambo yanayokitafuna sana Taifa hili.
Katika kuchoka kwangu Jana na leo nahisi nimesoma karibu kila ujinga na hoja...