Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema chama hicho hakitashiriki uchaguzi wa kuwapata wabunge watakaoiwakilisha Tanzania kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika ya Mashiriki (Eala). Uchaguzi huo...
12 Reactions
75 Replies
5K Views
Nitataja mambo kadhaa 1. Kwanini mchakato wa katiba mpya awamu ya pili ya Mh Jakaya utumie mabilioni ya pesa kisha uwe abandoned kirahisi tu hivi????. Hizo fedha zingesaidia kumaliza tatizo la...
1 Reactions
5 Replies
632 Views
02 December 2022 Sumbawanga, Rukwa Mbunge pekee wa CHADEMA Mh Aida Khenan aelezea mbinu alizotumia mpaka kushinda ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 Hali ilikuwa mbaya baada ya CCM...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku ya watu wenye ulemavu; Tuondoe vikwazo. Utangulizi Leo tarehe 3 Disemba, Duniani kote wadau mbalimbali wanaadhimisha siku ya watu wenye ulemavu. Siku hii hutumika kutathimini jitihada za...
0 Reactions
4 Replies
414 Views
Katiba ni nini? Tunaweza kusema Katiba ni dira ya taifa au mwongozo mama wa taratifu na miongozo itumikayo kuliongoza taifa. Kuna mambo muhimu sana mengi ambayo ni ya msingi katika mustakabali...
1 Reactions
1 Replies
412 Views
Langu ni hilo! Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine! Wameisababishia Serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma...
16 Reactions
132 Replies
7K Views
Hii tabia ya kuivua nguo nchi yako kwenye MAJUKWAA ya kimataifa inasaidia kivipi kushika DOLA kwa mtu, hapa afrika Kila mpinzani aliwaunda serikali alitumia MAJUKWAA ya kimataifa KUISEMA vibaya...
-1 Reactions
15 Replies
863 Views
Hii miccm imevunja morali ya watanzania kuipenda nchi yao kwasabb ya uongozi mbovu na usio na dira wala mwelekeo. Kila zama na awamu wamekuwa wakija na ahadi za kijanjajanja na ulaghai za...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Hii ndiyo taarifa mpya kuhusiana na ziara ya viongozi wa CHADEMA inayoendelea barani Ulaya. Tayari viongozi hao wanaoongozwa na Makamu Mwenyekiti wao Tundu Lissu wamekutana na kufanya mazungumzo...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Pamoja na kwamba Rais wa Tanzania ni Rais wa wananchi wote, lakini ziara zake nchini Tanzania zinakuwa ni ziara za Mwenyekiti wa CCM, ukiacha hotuba labda na matukio ambayo ndiyo huwa ya kitaifa...
16 Reactions
37 Replies
3K Views
Yes mimi ni mwanaccm damu. Lakini nikimsikiliza Dkt. Bashiru akikosoa wanaomsifia mama napata kichefu chefu. Huyu ndo katibu mkuu wa kwanza wa CCM kufanya biashara ya kununua wapinzani kwa pesa...
18 Reactions
58 Replies
4K Views
Sikumbuki ni mwaka gani lakini nakumbuka kwenye moja ya bajeti zake aliitekeleza kwa ufanisi Kwa kiwango ambacho hata Mbowe na wenzie walikosa kabisa cha kukosoa wakaishia kusifia tu. Kwa jinsi...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
"Nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyopata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu mstaafu mmoja na...
57 Reactions
133 Replies
10K Views
Kufuatia sakata kushikiliwa kwa Ndege aina ya Airbus A220 ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) Nchini Uholanzi, Wakili Harold Sungusia amesema kichoendelea kinatokana na Serikali kujenga mifumo...
16 Reactions
20 Replies
2K Views
Tazameni matendo ya hovyo kwenye chaguzi zinazo endelea ndani ya uvccm. Hii ni aibu kubwa sana kwa taifa la watu waliostaarabika. Takukuru fanyeni kazi yenu bila kuangaliana itikadi.
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Gazeti la Nipashe kesho tarehe November 03, linareport kulipwa wenye vyeti feki. Ahukumiwa jela kwa kutumia cheti cha mtu mwingine kujiunga chuo. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Elina...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu, leo amemwaga cheche bungeni kwa kuiwakia serikali kuhusu vurugu za wamachinga Mbeya hivyo kutaka tume huru iundwe ili kuchunguza kadhia hiyo...
9 Reactions
159 Replies
15K Views
Kufuatia kwa ndege yetu kukamatwa, tutambue kwamba hizo pesa zitatoka mfukoni mwetu badala ya fedha kuwekwa kwenye miundo mbinu ya umeme, maji n.k, tujiandae kulipa. Sasa hivi wale vijana wa CCM...
4 Reactions
8 Replies
545 Views
Nianze kwa kunukuu maneno ya Nabii na Mtume Josefat Mwingira. " He is a victor' you can not conquer a Victor" Tundu ni Mshindi, ona anavyopendwa na kushangiliwa na watu wengi akiwa hana hata...
33 Reactions
74 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…