Bora Dkt. Bashiru akae kimya tu

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
234
1,316
Yes mimi ni mwanaccm damu. Lakini nikimsikiliza Dkt. Bashiru akikosoa wanaomsifia mama napata kichefu chefu.

Huyu ndo katibu mkuu wa kwanza wa CCM kufanya biashara ya kununua wapinzani kwa pesa za walipa Kodi wa nchi hii. Tulikuwa tunaumia saaana na kuona ubakwaji wa demokrasia lkn tuliamua kukaa kimya wapinzani walikuwa wanalia hadharani nasi tulikuwa tunalia kimya kimya

Tulikuwa tunakumbuka chaguzi ndogo za ubunge wa Tarime baada ya kufariki Chacha Wangwe, uchaguzi mgodo wa Arumeru kwa Nasari kufuatia kifo cha Jeremiah Summari na ule wa Igunga kwa Rostam Azizi kujiuzulu ubunge jinsi CCM ilivokuwa inashindana kwa hoja na CHADEMA ( japo hazikuwa sahihi 100%) lakini kulikuwa na demokrasia

Sasa njoo uone chaguzi ndogo za Bashiru za mbunge asubuhi anatoka CHADEMA, jioni anagombea CCM na anakuwa mbunge. Dkt. Bashiru kaa kimya mzee wetu

Huyu ndie alienukuliwa akitamka hadhari kuwa CCM unatumia dola kubaki madarakani leo atatuambia nini

Inawezeka ana hoja ya msingi lakini inatia kinyaa kahaba kukuhubiria uache uzinzi ni kweli uzinzi ni dhambi lakini kahaba anapata wapi moral authority ya kuwakemea wengine

Mimi nadhani angebaki na ubunge wake amalizie muda wake akafundishe chuo kikuu basi.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
45,289
100,222
Mimi nadhani angebaki na ubunge wake amalizie muda wake akafundishe chuo kikuu basi.
Naunga mkono hoja, ila akimaliza ubunge wake, kurudi chuo itakuwa too late, atakuwa by passed na age, hivyo nashauri arudi tu kijijini kwake pale Ibwera akagombee ubunge, sisi tunao mjua, hatutotoa siri ya asili yake, wala ya wazazi wake, wala hatutasema walitokea wapi na walihamia lini hapo Ibwera, kwasababu wenzake wengi wapo, tunawajua na hatuwataja hivyo hata yeye asiwe na wasiwasi, hatutamja, huyu ni mwenzetu, siri za asili yake ziko salama, hatuta zitoa!.
P
 
makwega7

JF-Expert Member
Mar 18, 2018
1,338
1,340

Duh
Unamsagia kunguni sio?
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
68,689
79,314
Naunga mkono hoja, ila akimaliza ubunge wake, kurudi chuo itakuwa too late, atakuwa by passed na age, hivyo nashauri arudi tu kijijini kwake pale Ibwera akagombee ubunge, sisi tunao mjua, hatutotoa siri ya asili yake, wala ya wazazi wake, wala hatutasema walitokea wapi na walihamia lini hapo Ibwera, kwasababu wenzake wengi wapo, tunawajua na hatuwataja hivyo hata yeye asiwe na wasiwasi, hatutamja, huyu ni mwenzetu, siri za asili yake ziko salama, hatuta zitoa!.
P
Kwa hiyo wazaz wake hawakutokea tz
Siyo

Ova
 
Papasa

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
382
669
Naunga mkono hoja, ila akimaliza ubunge wake, kurudi chuo itakuwa too late, atakuwa by passed na age, hivyo nashauri arudi tu kijijini kwake pale Ibwera akagombee ubunge, sisi tunao mjua, hatutotoa siri ya asili yake, wala ya wazazi wake, wala hatutasema walitokea wapi na walihamia lini hapo Ibwera, kwasababu wenzake wengi wapo, tunawajua na hatuwataja hivyo hata yeye asiwe na wasiwasi, hatutamja, huyu ni mwenzetu, siri za asili yake ziko salama, hatuta zitoa!.
P
Sawa tuna kubali kwamba huyu jamaa ni mchafu na pengine hasafishiki, lakini hoja zake alizotoa zina mashiko na ajibiwe kwa hoja vile vile na sio kushambuliwa kwa kejeli.

Matendo yake yasi tuzibe macho na masikio kujifanya hatuoni Wala kusikia mapungufu mengi yaliyopo na kusifia Kila kitu,

Na nimeshangaa kwa mtu kama wewe kuanza kumtolea vitisho vya kujua asili yake, ukija kwenye suala la asili ya watu utamaliza wote, makabila mengi Tanzania yana asili ya nchi nyingine yalipo tokea, hivyo vitisho havi saidii kitu jibuni hoja
 
mtumishiwaleo

JF-Expert Member
May 4, 2020
1,214
1,308
Naunga mkono hoja, ila akimaliza ubunge wake, kurudi chuo itakuwa too late, atakuwa by passed na age, hivyo nashauri arudi tu kijijini kwake pale Ibwera akagombee ubunge, sisi tunao mjua, hatutotoa siri ya asili yake, wala ya wazazi wake, wala hatutasema walitokea wapi na walihamia lini hapo Ibwera, kwasababu wenzake wengi wapo, tunawajua na hatuwataja hivyo hata yeye asiwe na wasiwasi, hatutamja, huyu ni mwenzetu, siri za asili yake ziko salama, hatuta zitoa!.
P
Wewe Pascal haunjui Bashiru, Bashiru kwao ni Kanazi kijiji Kansenene,wala sio Ibwera,hayo mambo ya asili kila mtu anaasili yake,hata Rais wa Sasahivi asili yake ni Omani,Sisi tunachojua Bashiru anachukiwa kwa ukweli wake,na akina Kinana na Nape wanajua Bashiru anamafaili yao ndio maana wapigana waweza kumtupa nje.Mungu atampigania tu,ataishinda hii vita.
 
frenk julius

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
374
239
Yes mimi ni mwanaccm damu. Lakini nikimsikiliza Dkt. Bashiru akikosoa wanaomsifia mama napata kichefu chefu.

Huyu ndo katibu mkuu wa kwanza wa CCM kufanya biashara ya kununua wapinzani kwa pesa za walipa Kodi wa nchi hii. Tulikuwa tunaumia saaana na kuona ubakwaji wa demokrasia lkn tuliamua kukaa kimya wapinzani walikuwa wanalia hadharani nasi tulikuwa tunalia kimya kimya

Tulikuwa tunakumbuka chaguzi ndogo za ubunge wa Tarime baada ya kufariki Chacha Wangwe, uchaguzi mgodo wa Arumeru kwa Nasari kufuatia kifo cha Jeremiah Summari na ule wa Igunga kwa Rostam Azizi kujiuzulu ubunge jinsi CCM ilivokuwa inashindana kwa hoja na CHADEMA ( japo hazikuwa sahihi 100%) lakini kulikuwa na demokrasia

Sasa njoo uone chaguzi ndogo za Bashiru za mbunge asubuhi anatoka CHADEMA, jioni anagombea CCM na anakuwa mbunge. Dkt. Bashiru kaa kimya mzee wetu

Huyu ndie alienukuliwa akitamka hadhari kuwa CCM unatumia dola kubaki madarakani leo atatuambia nini

Inawezeka ana hoja ya msingi lakini inatia kinyaa kahaba kukuhubiria uache uzinzi ni kweli uzinzi ni dhambi lakini kahaba anapata wapi moral authority ya kuwakemea wengine

Mimi nadhani angebaki na ubunge wake amalizie muda wake akafundishe chuo kikuu basi.
Mimi nilifikili ungeanza kuwalaumu wale wapinzani matumbo wajinga ambao walikubali kulanguliwa kwa mafungu kama nyanya, walifikia hatua ya kutusaliti sisi tuliowapa dhamana ya madaraka na kuanza kujiuza
 
Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
1,660
2,761
Yes mimi ni mwanaccm damu. Lakini nikimsikiliza Dkt. Bashiru akikosoa wanaomsifia mama napata kichefu chefu.

Huyu ndo katibu mkuu wa kwanza wa CCM kufanya biashara ya kununua wapinzani kwa pesa za walipa Kodi wa nchi hii. Tulikuwa tunaumia saaana na kuona ubakwaji wa demokrasia lkn tuliamua kukaa kimya wapinzani walikuwa wanalia hadharani nasi tulikuwa tunalia kimya kimya

Tulikuwa tunakumbuka chaguzi ndogo za ubunge wa Tarime baada ya kufariki Chacha Wangwe, uchaguzi mgodo wa Arumeru kwa Nasari kufuatia kifo cha Jeremiah Summari na ule wa Igunga kwa Rostam Azizi kujiuzulu ubunge jinsi CCM ilivokuwa inashindana kwa hoja na CHADEMA ( japo hazikuwa sahihi 100%) lakini kulikuwa na demokrasia

Sasa njoo uone chaguzi ndogo za Bashiru za mbunge asubuhi anatoka CHADEMA, jioni anagombea CCM na anakuwa mbunge. Dkt. Bashiru kaa kimya mzee wetu

Huyu ndie alienukuliwa akitamka hadhari kuwa CCM unatumia dola kubaki madarakani leo atatuambia nini

Inawezeka ana hoja ya msingi lakini inatia kinyaa kahaba kukuhubiria uache uzinzi ni kweli uzinzi ni dhambi lakini kahaba anapata wapi moral authority ya kuwakemea wengine

Mimi nadhani angebaki na ubunge wake amalizie muda wake akafundishe chuo kikuu basi.
NA WEWE KAA KIMYA BASHIRU ANA UHURU wa kumzungumza Atakacho ACHENI UCHAWA WENU
 
Intelligence Justice

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
2,030
2,118
Naunga mkono hoja, ila akimaliza ubunge wake, kurudi chuo itakuwa too late, atakuwa by passed na age, hivyo nashauri arudi tu kijijini kwake pale Ibwera akagombee ubunge, sisi tunao mjua, hatutotoa siri ya asili yake, wala ya wazazi wake, wala hatutasema walitokea wapi na walihamia lini hapo Ibwera, kwasababu wenzake wengi wapo, tunawajua na hatuwataja hivyo hata yeye asiwe na wasiwasi, hatutamja, huyu ni mwenzetu, siri za asili yake ziko salama, hatuta zitoa!.
P
Hon. the learned counsel paschal Mayalla please stop this speculation your respect rating shall drastically hurled into the holed abyss for your regret
 
Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
15,369
14,479
Chini ya ukatibu mkuu wake ndiyo kwa mara ya kwanza kabisa tanzania kupata wabunge wa ajabu kabisa kupata kutokea hawajui kujenga hoja zenye mashiko nadhani waliwekwa maksudi kimkakati kwa dhamira maalumu ya #NDIYO, #IPITE.....! #AMEPITA, #IMEKUBALIKA,#ANATOSHA, #HAKUNA_HAJA_YA_UCHAGUZI_ANATOSHA_WAMILELE_WAMILELE.
 
BakiliMuluzi

JF-Expert Member
Oct 17, 2022
920
1,371
Naunga mkono hoja, ila akimaliza ubunge wake, kurudi chuo itakuwa too late, atakuwa by passed na age, hivyo nashauri arudi tu kijijini kwake pale Ibwera akagombee ubunge, sisi tunao mjua, hatutotoa siri ya asili yake, wala ya wazazi wake, wala hatutasema walitokea wapi na walihamia lini hapo Ibwera, kwasababu wenzake wengi wapo, tunawajua na hatuwataja hivyo hata yeye asiwe na wasiwasi, hatutamja, huyu ni mwenzetu, siri za asili yake ziko salama, hatuta zitoa!.
P
na wewe siri za asili yako hazitotolewa pia
 
18 Reactions
Reply
Top Bottom