Lindi: Hakuna mwana CHADEMA aliyeshiriki mapokezi ya Dkt. Samia Suluhu, walioshikishwa bendera za CHADEMA ni mamluki waliopangwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,207
217,162
Pamoja na kwamba Rais wa Tanzania ni Rais wa wananchi wote, lakini ziara zake nchini Tanzania zinakuwa ni ziara za Mwenyekiti wa CCM, ukiacha hotuba labda na matukio ambayo ndiyo huwa ya kitaifa, lakini wahudhuriaji wote huwa ni wana CCM au marafiki wa chama hicho. Sare za CCM na nyimbo za John Komba ndiyo nembo halisi ya ziara hizo.

Sasa cha kushangaza leo huko Lindi kwenye Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani, wametengenezwa mamluki ambao majina yao matatu yanafahamika na kukabidhiwa bendera za CHADEMA ili kumdanganya Dkt. mpya kwamba anakubalika. Ni aibu kwa waziri kujaribu kudanganya mamlaka yake ya uteuzi ili apate sifa za uongo.

Ukweli ni kwamba katika mamluki waliyoshikishwa bendera za CHADEMA baada ya kulipwa vitita vya kutosha, hakuna hata mwana CHADEMA wa kulumangia. Hizi ndiyo siasa za Ghiliba za Nape Nnauye, kwa sisi tunaomfahamu wala hatushangai.

Swali ni je, kwa karne hii uongo duni kama huu utamsaidia chochote?
 
Pamoja na kwamba Rais wa Tanzania ni Rais wa wananchi Wote , lakini ziara zake nchini Tanzania zinakuwa ni ziara za Mwenyekiti wa CCM , ukiacha hotuba labda na matukio ambayo ndiyo huwa ya Kitaifa , lakini Wahudhuriaji wote huwa ni wanaccm au Marafiki wa Chama hicho , Sare za ccm na nyimbo za John Komba ndio nembo halisi ya ziara hizo .

Sasa cha kushangaza leo huko Lindi kwenye Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani , wametengenezwa mamluki ambao Majina yao matatu yanafahamika na kukabidhiwa bendera za Chadema ili kumdanganya Dkt mpya kwamba anakubalika , Ni aibu kwa Waziri kujaribu kudanganya Mamlaka yake ya Uteuzi ili apate sifa za uongo .

Ukweli ni kwamba katika mamluki walioshikishwa bendera za Chadema baada ya kulipwa Vitita vya kutosha HAKUNA HATA MWANACHADEMA wa kulumangia , Hizi ndio siasa za ghiliba za Nape Nnauye , kwa sisi tunaomfahamu wala hatushangai .

Swali ni je , Kwa karne hii Uongo duni kama huu utamsaidia chochote ?
CCM imekosa visionaries. Nchi inayumba, badala ya kuhangaika kufikiria namna ya kuinusuru nchi, wao wako busy na kucheza sinema za kubeba mabendera ya CHADEMA
 
Nakataa kata kata hakuna mwana-CHADEMA pale.
Ila mama unafiki anaofanyiwa na chama chake utamgharimu siku 1 bahati nzuri nae alishakiri kuwa wabaya wake wamo humo humo ccm
 
Pamoja na kwamba Rais wa Tanzania ni Rais wa wananchi wote, lakini ziara zake nchini Tanzania zinakuwa ni ziara za Mwenyekiti wa CCM, ukiacha hotuba labda na matukio ambayo ndiyo huwa ya kitaifa, lakini wahudhuriaji wote huwa ni wana CCM au marafiki wa chama hicho. Sare za CCM na nyimbo za John Komba ndiyo nembo halisi ya ziara hizo.

Sasa cha kushangaza leo huko Lindi kwenye Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani, wametengenezwa mamluki ambao majina yao matatu yanafahamika na kukabidhiwa bendera za CHADEMA ili kumdanganya Dkt. mpya kwamba anakubalika. Ni aibu kwa waziri kujaribu kudanganya mamlaka yake ya uteuzi ili apate sifa za uongo.

Ukweli ni kwamba katika mamluki waliyoshikishwa bendera za CHADEMA baada ya kulipwa vitita vya kutosha, hakuna hata mwana CHADEMA wa kulumangia. Hizi ndiyo siasa za Ghiliba za Nape Nnauye, kwa sisi tunaomfahamu wala hatushangai.

Swali ni je, kwa karne hii uongo duni kama huu utamsaidia chochote?
Hilo liko wazi na kama nchi inaongozwa na viongozi wa aina hii tutabaki maskini milele
 
Back
Top Bottom