MIGA italifilisi taifa. Serikali imsikilize Nguli wa Sheria na Hekima Tundu Lissu

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,020
Nianze kwa kunukuu maneno ya Nabii na Mtume Josefat Mwingira.

" He is a victor' you can not conquer a Victor"

Tundu ni Mshindi, ona anavyopendwa na kushangiliwa na watu wengi akiwa hana hata chombo chochote cha habari lakini wananchi wanajua alipo na mikutano yake.

You can not make him fell, God is with Him. This Man is a living Miracle.

Mwisho wa kunukuu.

Tundu Lissu alionesha ubora wake kipindi chote alichokuwa mbunge na hasa ktk maswala ya ushauri wa kisheria katiba na utawala bora.

Nyota yake iling'aa zaidi wakati wa Bunge la Katiba alipokuwa mstari wa mbele kuwa Law consultant na wasomi wenzake waliobobea akina Dr Mwakyembe na Chenge pamoja na Jaji Werema na wengine.

Tundu Lissu aliwahi kusema

Tukicheza na MIGA tutaangukia pua tunahitaji kueekebisha sheria zetu kwani tulizitunga kwa pupa na zitatugharimu sisi wenyewe na taifa. Sasa tunaona kinachotokea kika kona ya Dunia.

Tundu aliwahi kusem hata hizi ndege tulizonunua kuna hatari ya kushindwa kuzidusha duniani kutokana na hofu ya kukamatwa kwa namna tunavyo handle migogoro ya Kisheria na wawekezaji wetu.

Tundu alikuwa mtu wa kwanza kusema tusipokuwa makini kama Taifa tunaweza kuangukia kwenye utawala wa kidikiteta. Sote ni mashahidi.

Tundu aliwahi kusema, Wakitumaliza sisi watakulana wao kwa wao. Akashauri wanaccm walio wengi washiriki kukemea vitendo viovu vinavyofanywa na watu wao ili sote tuwe salama. Kilichotokea kila mtu ni shahidi.

Tundu Lissu alisema mengi huku akibezwa na walioshiba na wenye kamba ndefu.

Sasa tusipoziba ufa tutajenga ukuta.

There are So many to come......
 
Agenda yake si USHOGA? Ndipo tatizo lilipo
 
Mtu busara ujinga hasara ,watu wenye akili timamu wasipo jishughulisha na mambo ya taifa mwisho hutawaliwa na wajinga.

Tumekubali kuwa vilaza acha tuvune zao la ukilaza wetu.

"Wajinga nao Wana zeeka"
Lissu amewafundisha sana kuhusu mambi haya lakini kwa kuwa wanajali maslahi binafsi na wala sio ya taifa huwa hawamsikilizi
 
Jiwe ameliweka taif hili kwenye matatizo makuubwa sana
This time ataliwa na kunguru akijifanya kufufuka
IMG-20221130-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom