Godbless Lema: Bora ya Magufuli kuliko Samia

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
"Nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyopata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani."

"Lakini kwa yanayoendelea sasa ndani ya utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!"

Godbless Lema.
 
'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'

'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'

Godbless Lema.
Wanasiasi usije WAHAMINI HATA

UNAFIKI MWINGI

LEMA KWELI !!!?
 
Hivi rais gani atakuja kukubalika na Watanzania akiwa madarakani na baada ya kuondoka madarakani tangu turudi kwenye mfumo wa vyama vingi?

Magufuli alipoingia madarakani, watu wakaanza kumkumbuka Kikwete, leo Samia ameingia madarakani, Magufuli anaanza kukumbukwa!!

Itakuwa Tanzania tunahitaji katiba mpya kwakweli, ili kiongozi aliyepo madarakani aifuate hiyo katiba, ili asichukiwe na raia kwa sababu anakuwa anaongoza kwa kufuata katiba iliyotengenezwa na wananchi.

Kwa sasa kila rais anaongoza kwa utashi wake akiingia madarakani, hali inayopelekea huyu anakumbukwa, yule anachukiwa!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
siku hizi ukitaka kurudi nyumbani inabidi umpigie mstaafu?
Kuna ubaya gani mtu mmoja kumpigia mtu mwingine simu?
Kuna mengi kwenye maongezi ya simu. Salamu, kujua mienendo ya nyumbani, kukumbushana jambo na kupeana taarifa. Unadhani alipompigia huyo mstaafu hakumsalimia kwanza? Unadhani hakuwa na jambo lingine ila kumwambia tu anataka kurudi Tanzania?
 
'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'

'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'

Godbless Lema.
Dah hakika Lema ni kiumbe siyo binaadam. Huyu si ndiye yule aliyeleta msemo wa Mama anaupiga mwingi??????? Atulie kabisa asituchanganye. Sisi watanzania tunasema Rais wa sasa ni Samia na tunampenda mno
 
'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'

'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'

Godbless Lema.
0D5DCC9C-29EC-4BA8-92DB-5BAD0CB51589.jpeg
 
Back
Top Bottom