CCM haipo kwa ajili ya kuwaletea maendeleo wananchi bali kundi dogo tu la CCM na washirika wao

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Kufuatia kwa ndege yetu kukamatwa, tutambue kwamba hizo pesa zitatoka mfukoni mwetu badala ya fedha kuwekwa kwenye miundo mbinu ya umeme, maji n.k, tujiandae kulipa.

Sasa hivi wale vijana wa CCM wenye matamko naona wamekaa kimya. Mikataba mibovu ya madini n.k, ni kazi ya ccm. Wizi wa mali za umma ni kazi ya CCM.

Hayupo kiongozi wa sasa wa CCM ambaye yupo kwa ajili ya Watanzania, wengi wao wapo kwa ajili ya kutengeneza vizazi vyao tu. Juzijuzi Symbion kalipwa kimyakimya mabilioni ya fedha na hata deni la ndege lipeni tu.

Kinachouma kwa sasa huduma yoyote kwenye ofisi za umma ukitaka kufanikisha ni connection.
 
Kufuatia kwa ndege yetu kukamatwa tutambue kwamba hizo pesa zitatoka mfukoni mwetu badala ya fedha kuwekwa kwenye miundo mbinu ya umeme maji n.k tujiandae kulipa sasa hivi wale vijana wa ccm wenye matamko naona wamekaa kimya.

Mikataba mibovu ya madini n.k.ni kazi ya ccm
wizi wa mali za umma ni kazi ya ccm

Hayupo kiongozi wa sasa wa ccm ambaye yupo kwa ajiri ya watanzania wengi wao wapo kwa ajiri ya kutengeneza vizazi vyao tu. juzijuzi symbion kalipwa kimyakimya mabilion ya fedha na hata deni la ndege lipeni tu.

Kinachouma kwa sasa huduma yoyote kwenye ofisi za umma ukitaka kufanikisha ni connection.
Kwa ajiri ndiyo nini!?...barabara,shule, miundombinu wanatumia wao tu uliowataja!?
 
Hayupo kiongozi wa sasa wa ccm ambaye yupo kwa ajiri ya watanzania wengi wao wapo kwa ajiri ya kutengeneza vizazi vyao tu. juzijuzi symbion kalipwa kimyakimya mabilion ya fedha na hata deni la ndege lipeni tu.
Hayupo. Ukiwasikiliza kwenye majukwa utadhani watu kweli
 
Waache Watanzania maana wameamua kukaa kimya kama vile mambo yanayoendelea hayawahusu. Ngoja washike adabu yao!
 
Back
Top Bottom