Kuna hoja huwa inakuja mara kwa mara kwamba "fulani ni mzee sasa anafaa apumzike siasa". hivi kwa Tanzania mtu akifikisha miaka mingapi ndipo ahesabiwe kwamba umri wake haufai kugombea nafasi za...
Tayari serikali imeshatoa taarifa ya uchunguzi wa ajali ya ndege iliyopata ajali wakati inatua uwanja wa Bukoba.
Taarifa hiyo ya uchunguzi inakiri wazi uzembe wa kitengo cha dharura na uokozi...
Salam za upendo kwa Watanzania wote wakati tunasheherekea Noel kuadhimishia miaka zaidi ya 200o ya kuzaliwa Yesu Kristo ambae ni Bwana na Mwokozi wa maisha ya wanadamu.
Mwaka 1997 Rais Mkapa...
Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa
Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?
KUB je?
Na Mahakama?
Mlale unono
Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter
Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la...
Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema tiketi zitakazotumika wakati wa safari za treni ya kisasa ya umeme SGR zitatumia mfumo wa kielektroniki katika hatua zote za ukaguzi wa...
Niliiona J J Mnyika alipotimba Morogoro shughuli haikuwa ya kitoto.
Nimeona John Heche akiwa Kanda ya Ziwa, Kusini na sasa Nyasa anapata nyomi ya kutosha kabisa.
Ila jijini Dar es Salaam CHADEMA...
Habari vijana wenzangu,
Binafsi Mimi siyajui machungu ya kuwa jobless. Nimemaliza tu kidato cha sita kisha kwenda JKT nikaajiriwa. Niliacha kazi mwenyewe na kupata kazi nyingine soon.
Mimi sio...
Kwa kuwa Dkt. Hassan Abbas ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ni ambayo ni nafasi yenye majukumu mengi na mazito ya kiutawala huku akiendelea kuwa Msemaji...
Hiki chama hakijawahi kuwa na shughuli ndogo kwenye chaguzi. Huwa wanaupiga mwingi sana. Na ukweli tu wananchi wengi bado tuna tumaini na hiki chama kama chama pekee cha upinzani Tanzania.
Mwaka...
Suleiman Mzee awaaga Watumishi wa Jeshi la Magereza, leo Agosti 4, 2022 katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi hilo, awaosia mambo kadhaa ya kuzingatia;
Mosi, Pendaneni, Shirikianeni na muwe kitu...
Nimekuwa ni kijaribu kufanya utafiti juu ya jina la Ndumilakuwili kuwa ni nini. Ndipo nikaamua kutafuta picha yake.
Nimevuta hisia zangu sasa mtu akiwa ndumilakuwili ni mtu wa aina...
Askofu Gamanywa amesema Wewe unayeogopa kufa unataka ufe mara ngapi? Kwani hapa duniani unachofaidi ni nini hasa zaidi ya kutenda dhambi na kuandamana na pepo wachafu
Askofu amesema hata yeye...
Zamani Mtanzania alikuwa ana ya kujivunia. Tulikuwa tunaona raha tuendapo nje watu wakitusifia jinsi nchi yetu ilivyo na misimamo thabiti, siasa inayoeleweka, viongozi wenye taaluma, amani na...
Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania...
Kama una karama ya kutafsiri lugha utakuwa umenielewa vizuri.
Kila kiongozi anayeongea anakuwa na lengo maalumu hakuna anayeropoka.
Kwa mfano waziri wa fedha anasema Deni la Taifa ni Public +...
Wanabodi,
Heri ya Mwaka Mpya 2017.
Hizi ni salaam zangu kwa wana jf wenzangu kuwa kwa mwaka 2016 na miaka ya nyuma, sote tumeshuhudia jinsi JF ilivyo na impact kwa mustakabali wa taifa hili...
Nimelala nikakosa usingizi usiku wa leo nikiwaza, ndege yetu ya Tanzania ilifikaje Uholanzi?
1. Hatuna route ya kwenda Uholanzi
2. Hakuna connection useme ilipitia huko ikakamatwa
3. Haikwenda...
Hata Ulaya ilikuwa hivyo, watu binafsi wanakopa fedha kwa manufaa yao binafsi halafu nchi au Serikali ina guarantee hiyo mikopo kwa kodi za Wananchi, maana yake ni kwamba kama akishindwa kulipa...