Tanzania ya leo mtu anaweza kujivunia nini hasa?

Sijali

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
2,589
1,680
Zamani Mtanzania alikuwa ana ya kujivunia. Tulikuwa tunaona raha tuendapo nje watu wakitusifia jinsi nchi yetu ilivyo na misimamo thabiti, siasa inayoeleweka, viongozi wenye taaluma, amani na upendo. Hata katika michezo ya KImataifa, mara kwa mara tulifanikiwa kutoa mabingwa wa Kimataifa.

Si kila kitu kilikuwa vizuri, lakini angalau tulikuwa na mambo ya kujivunia.

Swali: Tanzania ya leo mtu anaweza kujivunia nini hasa?
 
Vigodoro
 
Yeah mkuu kuna kipindi baadhi ya nchi ulikuwa ukifika na passport ya Tanzania unaambiwa usubiri kwanza, unahudumiwa mwishoni na kuwa suspect yaani wamesha ku profile! Leo eti Lesotho 🇱🇸, Swaziland 🇸🇿, Malawi zina strong passport kuliko Tanzania!!, it's craze
 
Back
Top Bottom