Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MHE. SANGA AHOJI MATUMIZI YA MKOPO WA BILLION 350 BAJETI YA WIZARA YA ARDHI Mbunge wa Jimbo la Makete Festo Sanga ameishauri Serikali kuacha kutenga fedha za dharula badala yake fedha hizo za...
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Kwa hili natoa kongole nyingi kwa Halima Mdee.. Ni aibu Nchi imejaa Migogoro ya Ardhi na Ujenzi holela harafu Tume ya Ardhi inatengewa pesa kiduchu na Wanasiasa wanatengeana mabilioni ya posho...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Uongozi Institute Kwa Kushirikiana na AFCFTA Secretariat Wameandaa Jukwaa la Uongozi yaani African Leades Forum ambalo litajadili Mambo ya Biashara Huria Africa na Miongoni Mwa Viongozi...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
..CCM walitoa tangu kwamba wanakubali mchakato wa Katiba Mpya uanze. ..Lakini tangu chama kitoe tamko hilo sijawasikia makada wa CCM wakitoa maoni au mapendekezo kuhusu nini wanachokitaka ktk...
2 Reactions
6 Replies
508 Views
-Jamii yashauriwa kuacha mila na desturi potofu juu ya masuala ya hedhi. Na. WAF - Dodoma Wito umetolewa kwa jamii kuwa na uelewa kuwa hedhi sio balaa, ugonjwa wala sio laana bali ni mabadiliko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hapa nchini Tanzania, kumekuwa na changamoto za hapa na pale hususani katika chaguzi kuu za kitaifa ikiwemo ushindi wenye mashaka kwa baadhi ya viongozi na yote hiyo ikichangizwa na mfumo mbovu wa...
3 Reactions
3 Replies
637 Views
Matumizi ya zile fedha za UVIKO yamekaaje huko TANAPA?!!!
1 Reactions
3 Replies
409 Views
Yakemeeni magazeti haya uchwara msiyape nafasi bila kukanusha upuuzi kama huu. Content za mikutano yenu yote, Sauti mnazopiza kuhusu Katiba Mpya, wameona hili ndilo la kuwataarifu wananchi...
5 Reactions
85 Replies
4K Views
Tulionya Mapema sana kwamba tukipewa nafasi ya kupanda kwenye majukwaa kwenye mikutano ya hadhara na kuongea na wananchi, tuna uwezo wa kuteketeza ccm kwa muda wa siku 7 tu na sasa imedhihirika...
17 Reactions
65 Replies
5K Views
Kwa mjibu wa tamko la kiongozi wa shughuri za bunge letu Sipika Dr Aksoni Tulia kwamba, bunge la kushughurikia wezi waliotajwa kutoka katika wizara mbalimbalu na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG...
1 Reactions
7 Replies
653 Views
Hello!! Nimetafakari kiasi ni kwa namna gani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa inavyoweza kuinua uchumi na molari wa kujituma katika upambanaji hasa endapo viongozi wanasiasa kwenye mikutano...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Bandugu uzembe unao tokea Tanzania Mimi siamini lazima tuwalaumu ccm hakika haifai kulaumiwa kamwe. Ccm ni chama Cha siasa tu kama vingine na kazi yake ni porojo kama zilivyo za vyama vingine...
1 Reactions
4 Replies
553 Views
Iko hivi wakati wa awamu ya nne sina uhakika na awamu ya 3.Ila kwa awamua ya 4 hii tabia ilikuwepo sana, kulikuwa na utamaduni kwa wale wanao tuhumiwa na ufisadi hasa Wakurugenzi wa Halmashauri na...
2 Reactions
3 Replies
760 Views
Zipo picha nyingi za ikulu ile ya awamu ya kwanza. Huwa zinatukumbusha mambo mengi, yakiwemo mazuri na mabaya pia. Ni kumbukumbu zinazotunzwa ili angalau ziwaonyesha watoto na wajukuu ule...
0 Reactions
3 Replies
657 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeona nitumie jukwaa hili kwa upendo,Heshima na unyenyekevu mkubwa Sana kuishauri serikali yangu kuhakikisha kuwa katika mpango wake wa kila mwaka wa kununua chakula na...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
1. FAMILIA ZENYE NGUVU. Kivipi? Ili uwe na taifa lenye nguvu lazima lianzie kwenye familia ndogo hadi taifa lenyewe. Hivyo ni lazima kuweka sheria kanuni taratibu na muongozo mzuri wa kulinda...
2 Reactions
1 Replies
420 Views
Nimesikiliza hizi za Harmonize (Kwangalu ya Magufuli) na Zuchu (Tanzania ya Sasa Mama) ni nyimbo za karne. Naamini kabisa vizazi vijavyo vitamuenzi sana Magufuli kuliko hata sasa. Mwamba...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kitendo cha rais kutowachukulia hatua wezi waliotajwa na CAG, Bunge kupiga dana dana kuzijadili, huko tuendako ripoti za CAG zitakuwa na muhuri wa SIRI na hivyo kutakuwa for public consumption...
2 Reactions
10 Replies
666 Views
Huyu Waziri namshangaa, anaacha " ombwe" la taarifa kwa nini? Anashindwa kuwaeleza wabunge mchanganuo wa posho hizo? Mpaka Benki ya Dunia wanazikubali, ni mchakato mrefu, na uchanganuzi wa wazi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Teuzi za raisi samia zinavyoakisi dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania. Kassim mpingi Rufiji -pwani Duniani kote teuzi za kisiasa huwa na kazi kuu mbili, kazi ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…