Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Lindi Mjini, Hamida Abdallah amemuomba Waziri wa NIshati, January Makamba na Serikali kwa ujumla kushusha kodi zilizopo kwenye vifaa na gesi ya matumizi ya kupikia majumbani ili wananchi...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Wenda Rais Samia ndio atakua rais wa kwanza Tanzania kuweka wanawake wengi ktk nafasi za uongozi kupita vipindi vyote nyuma yake,wanawake ni wengi sasa ile 50/50 apa inatumika vilivyo. Mbali na...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Ikiwa ni moja ya sheria kali zaidi duniani ambapo mtu yeyote anayesambaza ushoga anaweza kuhukumiwa kwa kifungo cha maisha au kifo ambapo amesema sheria imeishapita na haiwezi kufutwa. Akiongea...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WOTE NCHINI, AMPONGEZA MKUU WA WILAYA MSTAAFU Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametoa Maagizo Kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo asubuhi tumeshuhudia jinsi spika wa bunge Dokta Tulia akihaha kuhalalisha kuwa kikanuni akidi (idadi) ya wabunge imetimia na mjadala wa bajeti ya wizara ya nishati itaendelea tu japo kuna...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo amewataka Watumishi pamoja na Wakuu wa Idara waliopo katika Wilaya hiyo kuwa Waumini wa kusikiliza kero zinazo wakabili Wananchi na hatimaye kuzifanyia...
1 Reactions
0 Replies
802 Views
Kwanini kuwe na tozo za miamala ya simu na benki kama utalii tu unakusanya bil 291? Kwa nini serikali inaruhusu michango ya maendeleo mashuleni wakati utalii unazlihsa pesa ambazo zinatosha...
1 Reactions
1 Replies
893 Views
Mbunge wa Singida Mashariki amefanya mkutano na waandishi wa habari akimtuhumu Magufuli kwa mambo mengi na kutaka asusiwe kila mahali. Amesema mataifa ya nje yanayompa hela Magufuli yamsusie...
69 Reactions
1K Replies
136K Views
MHE. FESTO SANGA - NI MUDA MUAFAKA KUONGEZA VIVUTIO VYA UTALII Mbunge wa Jimbo la Makete Mhe. Festo Richard Sanga amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hawa wahuni wamejipanga kubebana. Kuna mbunge wa Mtwara mmoja muda wake kuchangia ni kumsifia Januari Makamba tu. Eti wabunge kufanyiwa maonesho hapo bungeni wakaona kwa technologia kile...
11 Reactions
36 Replies
4K Views
Wimbi la ukosefu/upungufu wa pesa za kigeni nchini, ni tatizo kubwa kwa sasa. Lakini tunadanganywa na baadhi ya wanasiasa huko madarakani. Ukweli ni kwamba kuna upungufu mkubwa wa Dola nchini...
7 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimekuwa na madudu mengi katika idara ya elimu Ubungo baadhi kwa kutaja ni kama; 1. Kucheleweshwa kwa watumishi kupandishwa madaraja. 2. Kila mara kutolipwa au kukopwa posho kwa wasimamizi wa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
jamani dibaji ya allan quarteman inafariji sana au soma kitabu cha 90 minutes at Entebe . Tafuteni moja ya vitabu hivi mkisome haswaa kwa wale tunaotarajia majonzi au furaha kubwa kupita...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa kifupi kabisa inadaiwa Ally Karume hamtambui Dkt. Mwinyi ambaye ni Rais wa sasa kuwa alishinda Urais, badala yake anaamini Maalim Sharifu Hamadi alishinda Urais huko Zanzibar. Inadaiwa leo...
22 Reactions
220 Replies
27K Views
Kitwala aliwahi kuwa mkuu wa Wilaya ya Mkoani Tabora, enzi zake alisimamisha kazi makumi ya watumishi na kuwafukuzisha kazi. SSH akapita naye kama mwewe, akawa raia wa kawaida. Kumbe chini ya...
6 Reactions
14 Replies
8K Views
Waziri wa Nishati, January Makamba, anamfanyia hujuma za wazi Rais Samia Suluhu Hassan ili kutimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hujuma yake...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
#kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kwa ufupi njia rahisi za kuukwa nafasi ya kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya nchini ni 1)uwe ni mwanachama wa chama cha upinzani nchini na hasa...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
MAKOSA MAKUBWA YA MSWADA WA TISS. SEHEMU YA 2. Baada ya kuona makosa ya vifungu vya 5 na 16 namna vinavyopingana, na mapendekezo niliyoweka ili kuboresha mswada huu wa sheria ya Usalama wa Taifa...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Akizungumza na Clouds TV , Mkuu wa Wilaya aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Mh Jerry Murro amesema kwamba , anamiss sana mambo ya uandishi wa habari na hasa habari za Uchunguzi . Akizungumza kwa...
19 Reactions
38 Replies
3K Views
Rais Samia atapokea Ndege ya kwanza ya Mizigo Boeing 737-300F itakayowasili siku ya Jumamosi June 3, 2023 Uwanja wa JNIA Ndege hiyo ina uwezo wa kubeba tani 54 Source: Mwananchi
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…