Mama Salma Kikwete kumsifia Januari Makamba kuhusu bwawa la Nyerere ni unafiki

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,426
7,213
Hawa wahuni wamejipanga kubebana. Kuna mbunge wa Mtwara mmoja muda wake kuchangia ni kumsifia Januari Makamba tu.

Eti wabunge kufanyiwa maonesho hapo bungeni wakaona kwa technologia kile kinaendelea bwawa la Nyerere ndio Januari anaupiga mwingi sana. Mwenyewe Januari tusisahau alipinga ujenzi wa hilo bwawa eti litaharibu mazingira.

Salma Kikwete nae kasifu Januari Makamba hadi basi tu. Dakika karibu zote ni kusifu tu Januari na Maharage Chande.

Sisi tunasubiri tu hawa wahuni watafuta ukuu tuone wanataka nini. Tunataka kurejesha nchi kwa wazalendo sio kuendelea kuongozwa na wapigaji.

Povu ruksa.
 
Hawa ndio watu wanaowasifia.

Mwakani unamaliza mradi ambao unakidhi mahitaji ya nchi kwenye umeme tena wa bei nafuu.

Halafu mwaka huo huo unaingia kwenye mkataba mwingine wa kununua umeme wa jua kutoka kwa mwekezaji ambae unamuwekea na bank guarantee juu ya kununua huo umeme.

Sasa hiyo surplus unaipeleka wapi na lazima ununue huo umeme vinginevyo sio mwekezaji tu, ata hiyo bank iliyotoa mkopo inaweza kukufungulia kesi ya madai. Yaleyale ya IPTL na standard charter; mgogoro wa madeni unaishia kuiburuza serikali mahakamani ambayo aihusiki na huo mkopo.

Huko sasa ndio kuchezea hela za mapato ya shirika, so unnecessary expenditures; halafu kuna watu wanasifia huo uwekezaji wa kiupuuzi.

Mambo mengine yanawezekana Tanzania.
 
Kingu katumia muda wake wote kusifia na sekunde km 30 kaongelea jimbo lake
 
Wezi tu hawa kina makamba. Wanakimbilia mikataba ya upigaji wakati tunasubiri umeme wa nafuu wa hydro. Maharage nae ameshaanza kuchomekea kwa kusema eti kupunguza bei ya umeme si busara. Anaandaa watu kisaikolojia wakati jpm aliapiza umeme lazima ushuke.

Wahuni ni watu wabaya sana. Ulaya na marekani unit ni kama usd 0.02. tanzania tunalipa zaidi ya usd 0.22. Hapo wawekezaji utawahamasisha vipi kwa umeme wa gharama kiasi hivyo.

Au wananchi watawezaje kutumia umeme kwa maendeleo yao kwa wingi kama umeme wenyewe ghali kuliko kote duniani.

Wao wanafikiri upigaji tu ndio wanakaribisha umeme za kipigaji na kuwapa guarantee ya tanesco kununua kwa bei mbaya wakijua wako na cha juu au wameshafungiwa chao mapema.
 
Hawa wahuni wamejipanga kubebana. Kuna mbunge wa mtwara mmoja muda wake kuchangia ni kumsifia januari makamba tu. Eti wabunge kufanyiwa maonesho hapo bungeni wakaona kwa technologia kile kinaendelea bwawa la nyerere ndio januari anaupiga mwingi sana. Mwenyewe januari tusisahau alipinga ujenzi wa hilo bwawa eti litaharibu mazingira.
Salma kikwete nae kasifu januari hadi basi tu. Dakika karibu zote ni kusifu tu januari na maharage.
Sisi tunasubiri tu hawa wahuni watafuta ukuu tuone wanataka nini. Tunataka kurejesha nchi kwa wazalendo sio kuendelea kuongozwa na wapigaji.
Povu ruksa.
Bimkubwa naye kilaza sana
 
Kuna hawa mapoyoyo wanne Ummy Mwalimu, Hussein Bashe, Mwigulu Nchema na January Makamba.

Ni watanzania tu ndio wanaweza ona watu wa maana, ila kwengine ni watu waliopewa wizara sensitive sana halafu wenyewe uwezo wao mdogo sana.
Hasa BASHE JAMAAAA KIAZI SANA KOPO TUPU NA PIPA TUPU LISILOKUWA NA UELEWA HATA KIDGO
 
Hawa wahuni wamejipanga kubebana. Kuna mbunge wa mtwara mmoja muda wake kuchangia ni kumsifia januari makamba tu. Eti wabunge kufanyiwa maonesho hapo bungeni wakaona kwa technologia kile kinaendelea bwawa la nyerere ndio januari anaupiga mwingi sana. Mwenyewe januari tusisahau alipinga ujenzi wa hilo bwawa eti litaharibu mazingira.
Salma kikwete nae kasifu januari hadi basi tu. Dakika karibu zote ni kusifu tu januari na maharage.
Sisi tunasubiri tu hawa wahuni watafuta ukuu tuone wanataka nini. Tunataka kurejesha nchi kwa wazalendo sio kuendelea kuongozwa na wapigaji.
Povu ruksa.
ndege wanaofanana huruka pamoja.
 
Rushwa inafanya watu wanakuwa wapumbafu sn
 
Hawa wahuni wamejipanga kubebana. Kuna mbunge wa Mtwara mmoja muda wake kuchangia ni kumsifia Januari Makamba tu.

Eti wabunge kufanyiwa maonesho hapo bungeni wakaona kwa technologia kile kinaendelea bwawa la Nyerere ndio Januari anaupiga mwingi sana. Mwenyewe Januari tusisahau alipinga ujenzi wa hilo bwawa eti litaharibu mazingira.

Salma Kikwete nae kasifu Januari Makamba hadi basi tu. Dakika karibu zote ni kusifu tu Januari na Maharage Chande.

Sisi tunasubiri tu hawa wahuni watafuta ukuu tuone wanataka nini. Tunataka kurejesha nchi kwa wazalendo sio kuendelea kuongozwa na wapigaji.

Povu ruksa.
Kwani wewe mtu akisifiwa unaumia nini? Wenye roho kama zako Huwa ni wachawi.
 
Hiyo ni timu inajijua kila mmoja wao anacheza namba gani, tena inawezekana walipangana jana usiku kwa simu, hata siwashangai bladifakeni zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom