Mbowe kamfunika Zitto Kabwe, ACT Wazalendo imedhoofu kabisa huku Tanganyika!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,984
142,001
Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo kapotezwa kabisa katika ramani ya Siasa baada ya Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kuingia kwenye Maridhiano na CCM

Kwa sasa ACT Wazalendo wako Pemba tu na jana nimemuona Abdul Nondo anaomba ujamaa na RC DSM mh Albert Chalamila

Mlale Unono!
 
Mh! Ngja Nondo aje
 
Mlale Unono

Mh! Ngja Nondo aje
Yaani Zito anafananishwa na Mbowe? How? Alifukuzwa akawa hana kitu, amefanya come back hadi anashindanishwa na aliemfukuza? Kweli this world is not fair. Kwamba kuna wakati Zito na ACT walimfunika Mbowe, right?
 
Back
Top Bottom