Manispaa ya Ubungo yashindwa kumalizia stand ya Magufuli

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Baada ya magufuli kufariki ni kama kila kitu kimesimama.

1. Barabara ya kuingia stand kipande kama cha mita 5 hadi 10 hadi leo hii hakija wekwa lami,

2. Pavements eneo la kuingilia wapita kwa miguu ambapo sasa hivi zinapaki.mwendokasi hadi leo ni vumbi tupu na wakati wa mvua ni matope balaa

3. Landscaping na kupanda bustani, miti ya kivuri hadi leo hawaja fanya.

Naona hii stand baad ya miaka 3 litakua pando la wahuni.
 
Jambo hili inabidi Mkuu wa Mkoa Mhe. Chalamila aliiingilie maana inaonekana kuna shida kubwa kwenye stendi hiyo.

Stendi hiyo ndio chanzo kikubwa cha mapato katika Jiji la DSM ukiacha bandari.
kwenye hii stendi kuna upigaji na hata ripoti ya CAG imebainisha ubadhirifu ktk Stendi hiyo, viongozi wapo pale kujaza matumbo yao na sio kuhakikisha stendi inaboreshwa.
 
1. Barabara ya kuingia stand kipande kama cha mita 5 hadi 10 hadi leo hii hakija wekwa lam...
Kwahiyo Magufuli ndio alikuwa anashika chepe kufanya ujenzi?
 
Nchi hamna kiongozi wa kusema alikua nafuu wote ni wale wale tu wametofautiana kwenye kudhibiti uozo wao uwe exposed.
 
Jambo hili inabidi Mkuu wa Mkoa Mhe. Chalamila aliiingilie maana inaonekana kuna shida kubwa kwenye stendi hiyo.

Stendi hiyo ndio chanzo kikubwa cha mapato katika Jiji la DSM ukiacha bandari.
kwenye hii stendi kuna upigaji na hata ripoti ya CAG imebainisha ubadhirifu ktk Stendi hiyo, viongozi wapo pale kujaza matumbo yao na sio kuhakikisha stendi inaboreshwa.
Stendi ya basi ni kwa ajili ya kwenda kupanda basi na kuendelea na safari kama ilivyo Airport kwa sisi wasafiri wa ndege.
.Nchi ina mambo mengi muhimu makubwa ya kufanya kwa wananchi...

Mambo kama haya ongeeni na mameneja wa stendi, sio kila kitu tumsumbue Rais wetu mpendwa...
 
Stendi ya basi ni kwa ajili ya kwenda kupanda basi na kuendelea na safari kama ilivyo Airport kwa sisi wasafiri wa ndege.
.Nchi ina mambo mengi muhimu makubwa ya kufanya kwa wananchi..
Hapa hatujamsumbua Mhe. Rais bali tunamtaka Waziri wa TAMISEMI Kairuki, RC Chalamila, DC wa Ubungo na viongozi wengine watendaji Kufuatilia Stendi hiyo, watupie macho makali kwani hapo ni chanzo kikuu cha mapato ya nchi nzima.
wasilale.
 
Baada ya magufuli kufariki ni kama kila kitu kimesimama.

1. Barabara ya kuingia stand kipande kama cha mita 5 hadi 10 hadi leo hii hakija wekwa lami,

2. Pavements eneo la kuingilia wapita kwa miguu ambapo sasa hivi zinapaki.mwendokasi hadi leo ni vumbi tupu na wakati wa mvua ni matope balaa

3. Landscaping na kupanda bustani, miti ya kivuri hadi leo hawaja fanya.

Naona hii stand baad ya miaka 3 litakua pando la wahuni.
FEDHA ZA KUMALIZIA WAZALENDO WAMEZIPIGA NA HAKUNA WA KUWAKAMATA
 
1. Waziri wa Tamisemi na manaibu 2 wapo

2. Katibu Mkuu yupo.

3. Mkuu wa Mkoa yupo.

4. Mkuu wa wilaya yupo.

5. Mkurugenzi wa Jiji yupo.

6. Baraza la Madiwani lipo.

ni kweli kwamba viongozi wote hao hawaoni hayo mapungufu kwenye hiyo Stendi ya Kimataifa?!
 
Baada ya magufuli kufariki ni kama kila kitu kimesimama.

1. Barabara ya kuingia stand kipande kama cha mita 5 hadi 10 hadi leo hii hakija wekwa lami,

2. Pavements eneo la kuingilia wapita kwa miguu ambapo sasa hivi zinapaki.mwendokasi hadi leo ni vumbi tupu na wakati wa mvua ni matope balaa

3. Landscaping na kupanda bustani, miti ya kivuri hadi leo hawaja fanya.

Naona hii stand baad ya miaka 3 litakua pando la wahuni.
Nguvu imehamishiwa kuijenga Zanzibar sahivi mkuu
 
Baada ya magufuli kufariki ni kama kila kitu kimesimama.

1. Barabara ya kuingia stand kipande kama cha mita 5 hadi 10 hadi leo hii hakija wekwa lami,

2. Pavements eneo la kuingilia wapita kwa miguu ambapo sasa hivi zinapaki.mwendokasi hadi leo ni vumbi tupu na wakati wa mvua ni matope balaa

3. Landscaping na kupanda bustani, miti ya kivuri hadi leo hawaja fanya.

Naona hii stand baad ya miaka 3 litakua pando la wahuni.
Pesa ya kumalizia hizo projects zinatumika kumchafua aliyeasisi hizo projects za miundombinu.

Shida ni kwamba. Wanakula keki waliyoioka. Wanachafuka bila kuchafuliwa
 
Baada ya magufuli kufariki ni kama kila kitu kimesimama.

1. Barabara ya kuingia stand kipande kama cha mita 5 hadi 10 hadi leo hii hakija wekwa lami,

2. Pavements eneo la kuingilia wapita kwa miguu ambapo sasa hivi zinapaki.mwendokasi hadi leo ni vumbi tupu na wakati wa mvua ni matope balaa

3. Landscaping na kupanda bustani, miti ya kivuri hadi leo hawaja fanya.

Naona hii stand baad ya miaka 3 litakua pando la wahuni.

mbunge gani anawasemea! umuhimu wa wabunge wa upinzani ndiyo huu sio pesa ni kelele kama hizi
 
Back
Top Bottom