Kwa haya mambo yanayoendelea katika nchi yetu yanaendelea kuonesha kwanini mafisadi, wala rushwa na wafanya magendo walifurahi baada ya kifo cha Magufuli.
Walijua kuwa wamepata mwanya wa kufanya...
Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Tume ya Mipango wa mwaka 2023 huku ikiondolewa Wizara ya Fedha na Mipango na kupelekwa kwa Ofisi ya Rais.
Muswada huo umewasilishwa na Waziri wa Nchi katika...
Suala la bandari, tatizo sio DP World, tatizo ni sisi wenyewe. Tatizo namna ya viongozi wa bandari wanavyopatikana.
Mkurugenzi, bodi na menegement nzima unachaguliwa na Rais, hapo hakutakuwa na...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, amewataka vijana wa Afrika, hususan kutoka Kusini mwa Afrika, kujitambua na kuwa tayari kuzitumikia nchi zao kwa weledi, uwezo na...
Bado naendelea kujiuliza, Kwanini mambo Yako hivi?.
Rais Wetu, hao wanaokuletea majina, wamekupa nini??
Mbona wanakugombanisha na watu?.
Ni kweli ,huenda umehakikishiwa Urais Kwa namna yoyote...
Kufuatia gazeti la Nipashe kuandika taarifa kuwa bunge limepitisha mkataba wa bandari na waarabu wa Dubai, Spika Tulia Akson ametoa onyo aliloliita la tatu na la mwisho Kwa wanahabari ngumbalu...
Swali la msingi ni kwenye kuridhia mikataba ya kimataifa, Bunge linauwezo wa kuukataa mkataba ambao umekwisha sainiwa na serikali? Na Je, Bunge likiukataa huo mkataba Nini kitatokea?
Naomba...
Unapoona Mwanasheria mkuu wa Serikali mstaafu au Mwanasheria mkuu wa Chama Kikuu cha Upinzani kila apatapo tatizo anaajiri Mawakili kutoka Ulaya basi ujue Wanasheria wetu ni Vimeo humu ndani...
Kifupi huo ndio ushauri wangu.
Tufanye nini? Najua shida yetu kubwa katika kila kitu hapa nchini ni uendeshaji mmbaya na sio kukosekana kwa fedha. Tumewahi kupokea fedha nyingi za misaada lakini...
Mnamo mwezi wa Desemba mwaka wa 1966, Rais wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere alizindua kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya petroli jijini Dar es Salaam.
Hatua hii ilikuwa ni miongoni mwa...
Nimemsikiliza mkulima aliefungua kesi dhidi ya mawaziri na watendaji kadhaa wa serikali kuhusu tuhuma za ripoti ya CAG, ameongea mengi na kutaja wengi lakini kwangu mimi nimegundua jambo, ametaja...
Halo JF.
Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa...
"Kukopa arusi kulipa matanga." "Uuzaji" wa bandari yetu si kwa sababu nyingine, si kwa sababu ya ufisadi au blah blah za kuongeza ufanisi. Ni sababu ya kuelemewa na madeni na hali ngumu ya uchumi...
Naandika hii si kwa ubaya, nia yangu ni njema kabisa.
Zipo taarifa kwamba Ole Sabaya ameachiwa huru baada ya kukiri makosa, katika uleule mpango tulioutilia mashaka wa Plea bargain, Sabaya...
Niliwahi kusema, hata kama baadhi yetu tutamchukia JPM, kuna siku tutamkumbuka tu.
Kwa madudu yanayoendelea sasa hapa Nchini, bila shaka JPM asingeweza kufanya hivyo hata kidogo.
Ikumbukwe ni...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema “Nitaweka presha kubwa kila mahali waliofanya makosa...
Je, unafahamu nini kuhusu dira ya Maendeleo ya Tanzania?
Je, ni upi umuhimu wa kuwa na Dira ya Maendeleo ya Taifa inayotekelezeka kwa wakati na kwa kuzingatia rasilimali zilizopo?
Je, Dira ya...
Maneno yamekuwa mengi ila sijafanikiwa kuona mtu anatuwekea huo mkataba tajwa humu au kokote ukiachilia mbali ya amakubaliano ya awali. Kwa aliyenao ingependeza akaupandisha hapa ili tuanzne...
Ratiba za bunge zinaonesha kuwa tarehe 10/6/2023 bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania litakaa na kujadili mkataba wa bandari na kampuni ya Daubai kifungu Kwa kifungu.
Kwa wale wanaotaka...