passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,803
- 13,034
Kwa haya mambo yanayoendelea katika nchi yetu yanaendelea kuonesha kwanini mafisadi, wala rushwa na wafanya magendo walifurahi baada ya kifo cha Magufuli.
Walijua kuwa wamepata mwanya wa kufanya wanayoyataka kama kuuza asset zote za nchi kwa wabia wao. Nchi inauzwa waziwazi.
Mambo yanayoendelea kwenye nchi hii kuanzia ufisadi mkubwa kwenye miradi mbalimbali mpaka kuanza kuuzwa kwa mali za Nchi kama mbuga za wanyama na kadhalika inaonesha nchi yetu imeyumba na kuelekea pabaya.
RIP Magufuli, RIP Tanzania.