Je, Serikali iko tayari kumuwekea ulinzi Ole Sabaya?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,340
Naandika hii si kwa ubaya, nia yangu ni njema kabisa.

Zipo taarifa kwamba Ole Sabaya ameachiwa huru baada ya kukiri makosa, katika uleule mpango tulioutilia mashaka wa Plea bargain, Sabaya amekiri mbele ya Mahakama, pamoja na mengine mengi, amekiri kumsumbua kwa uonevu wa kumsingizia uongo Mfanyabiashara wa kimataifa Alex Swai na kumwibia pesa zake kwa mamilioni.

Nampongeza Sabaya kwa kukiri makosa yake hadharani, tunaamini huko mbele atakiri mengi ikiwemo kuweka chumvi kwenye Magari ya Freeman Mbowe na kuyaharibu.

Ole Sabaya kijana aliyelindwa na Magufuli kwa udi na uvumba hata katika makosa ya wazi ya kijinga sana. Ametenda uovu mwingi sana. Sabaya alimiliki vikundi vya kiharamia vya kupora, kudhulumu, kuiba, kunyanyasa, kupiga na kuna tuhuma za kubaka pia, achilia mbali kuingia Bar kunywa vinywaji na kula nyama bila kulipa yeye na kundi lake.

Sabaya aliyatenda haya huku akilindwa na vyombo vya dola akiwemo OCD wa Hai aliyeitwa Mpina, ulinzi huu aliopewa kwenye uharamia wake alipewa kwa vile alikuwa DC.

Sasa leo anaachiwa akiwa Raia wa kawaida tu huku lundo la watu aliowadhulumu, kuwatesa na kuwapora wakiwa bado wangalipo na wakiwa kwenye maeneo yaleyale aliyowadhulumia, Sabaya alitenda unyama wake mwingi Arusha na Kilimanjaro.

Je, masuala ya ulinzi wake akiwa uraiani yamezingatiwa?
 
Awekewe ulinzi wa nini tena? huyo ukimgusa sasa ni wewe ndie utakuwa mhalifu, na kwako ndipo sheria za nchi zitakapofanya kazi yake, unaweza kukaa ndani mpaka ndugu zako wakusahau.

Naona tumuachie Mungu tu kama kawaida yetu, ndio maana kina Mwamposa wanapiga sana pesa, sababu wabongo tunapenda sana miujiza.
 
Naandika hii si kwa ubaya , nia yangu ni njema kabisa .

Zipo taarifa kwamba Ole Sabaya ameachiwa huru baada ya kukiri makosa , katika uleule mpango tulioutilia mashaka wa Plea bargain , Sabaya amekiri mbele ya Mahakama , pamoja na mengine mengi , amekiri kumsumbua kwa uonevu wa kumsingizia uongo Mfanyabiashara wa kimataifa Alex Swai na kumwibia pesa zake kwa mamilioni , nampongeza Sabaya kwa kukiri makosa yake hadharani , tunaamini huko mbele atakiri mengi ikiwemo kuweka Chumvi kwenye Magari ya Freeman Mbowe na kuyaharibu .

Ole Sabaya kijana aliyelindwa na Magufuli kwa udi na uvumba hata katika makosa ya wazi ya kijinga sana ametenda Uovu mwingi sana , Sabaya alimiliki vikundi vya kiharamia vya kupora , kudhulumu , kuiba , kunyanyasa , kupiga na kuna tuhuma za kubaka pia , achilia mbali kuingia Bar kunywa vinywaji na kula nyama bila kulipa yeye na kundi lake , Sabaya aliyatenda haya huku akilindwa na vyombo vya dola akiwemo OCD wa Hai aliyeitwa Mpina , ulinzi huu aliopewa kwenye uharamia wake alipewa kwa vile alikuwa DC .

Sasa leo anaachiwa akiwa Raia wa kawaida tu huku lundo la watu aliowadhulumu , kuwatesa na kuwapora wakiwa bado wangalipo na wakiwa kwenye maeneo yaleyale aliyowadhulumia , Sabaya alitenda unyama wake mwingi Arusha na Kilimanjaro .

Je Masuala ya Ulinzi wake akiwa Uraiani yamezingatiwa ?
OLE SABAYA NI HAZINA YA TAIFA ANASTAHIRI ULINZI MKALI
 
Je kengeza aliyemuua chacha wangwe na kufanya jaribio la kumuua Tundu lisu anaulinzi? Pia mkifanya uchaguzi wa mwenyekiti mwingine wa NGO yenu mtujulishe
Siyo kosa lako, upinde umekuelemea.
 
Attachments

  • IMG-20230404-WA0013.jpg
    IMG-20230404-WA0013.jpg
    52.2 KB · Views: 7
Je kengeza aliyemuua chacha wangwe na kufanya jaribio la kumuua Tundu lisu anaulinzi? Pia mkifanya uchaguzi wa mwenyekiti mwingine wa NGO yenu mtujulishe
Idiot, unaelewa msingi wa hoja iliyoletwa wateswaji wa Sabaya unadhani watakubali kutolipiza kisasi? Security kwa Sabaya ni muhimu, kuliko maswala unayoyaingizia ambayo kesi yake ilishakwisha na hata wenye visasi walisha samehe!
 
Naandika hii si kwa ubaya, nia yangu ni njema kabisa.

Zipo taarifa kwamba Ole Sabaya ameachiwa huru baada ya kukiri makosa, katika uleule mpango tulioutilia mashaka wa Plea bargain, Sabaya amekiri mbele ya Mahakama, pamoja na mengine mengi, amekiri kumsumbua kwa uonevu wa kumsingizia uongo Mfanyabiashara wa kimataifa Alex Swai na kumwibia pesa zake kwa mamilioni.

Nampongeza Sabaya kwa kukiri makosa yake hadharani, tunaamini huko mbele atakiri mengi ikiwemo kuweka chumvi kwenye Magari ya Freeman Mbowe na kuyaharibu.

Ole Sabaya kijana aliyelindwa na Magufuli kwa udi na uvumba hata katika makosa ya wazi ya kijinga sana. Ametenda uovu mwingi sana. Sabaya alimiliki vikundi vya kiharamia vya kupora, kudhulumu, kuiba, kunyanyasa, kupiga na kuna tuhuma za kubaka pia, achilia mbali kuingia Bar kunywa vinywaji na kula nyama bila kulipa yeye na kundi lake.

Sabaya aliyatenda haya huku akilindwa na vyombo vya dola akiwemo OCD wa Hai aliyeitwa Mpina, ulinzi huu aliopewa kwenye uharamia wake alipewa kwa vile alikuwa DC.

Sasa leo anaachiwa akiwa Raia wa kawaida tu huku lundo la watu aliowadhulumu, kuwatesa na kuwapora wakiwa bado wangalipo na wakiwa kwenye maeneo yaleyale aliyowadhulumia, Sabaya alitenda unyama wake mwingi Arusha na Kilimanjaro.

Je, masuala ya ulinzi wake akiwa uraiani yamezingatiwa?
Tunaelekea kaskazini duru zetu zikishatupatia taarifa zisizotia shaka kumhusu, wahanga tuna jambo letu, lipo, na mtaliona.

Kwetu waislamu kisasi ni haki!
 
Idiot, unaelewa msingi wa hoja iliyoletwa wateswaji wa Sabaya unadhani watakubali kutolipiza kisasi? Security kwa Sabaya ni muhimu, kuliko maswala unayoyaingizia ambayo kesi yake ilishakwisha na hata wenye visasi walisha samehe!!
Hata wafiwa wa marehemu wangwe wana masikitiko kwa sababu kengeza alimuua
 
Naandika hii si kwa ubaya, nia yangu ni njema kabisa.

Zipo taarifa kwamba Ole Sabaya ameachiwa huru baada ya kukiri makosa, katika uleule mpango tulioutilia mashaka wa Plea bargain, Sabaya amekiri mbele ya Mahakama, pamoja na mengine mengi, amekiri kumsumbua kwa uonevu wa kumsingizia uongo Mfanyabiashara wa kimataifa Alex Swai na kumwibia pesa zake kwa mamilioni.

Nampongeza Sabaya kwa kukiri makosa yake hadharani, tunaamini huko mbele atakiri mengi ikiwemo kuweka chumvi kwenye Magari ya Freeman Mbowe na kuyaharibu.

Ole Sabaya kijana aliyelindwa na Magufuli kwa udi na uvumba hata katika makosa ya wazi ya kijinga sana. Ametenda uovu mwingi sana. Sabaya alimiliki vikundi vya kiharamia vya kupora, kudhulumu, kuiba, kunyanyasa, kupiga na kuna tuhuma za kubaka pia, achilia mbali kuingia Bar kunywa vinywaji na kula nyama bila kulipa yeye na kundi lake.

Sabaya aliyatenda haya huku akilindwa na vyombo vya dola akiwemo OCD wa Hai aliyeitwa Mpina, ulinzi huu aliopewa kwenye uharamia wake alipewa kwa vile alikuwa DC.

Sasa leo anaachiwa akiwa Raia wa kawaida tu huku lundo la watu aliowadhulumu, kuwatesa na kuwapora wakiwa bado wangalipo na wakiwa kwenye maeneo yaleyale aliyowadhulumia, Sabaya alitenda unyama wake mwingi Arusha na Kilimanjaro.

Je, masuala ya ulinzi wake akiwa uraiani yamezingatiwa?
Kwani gaidi bado ana nia ya kumdhuru?
 
Siku mbaya kuwahi kutokea kwa Team Mbowe na Kweka Gang!
Kwamba kiboko ya Mwenyekiti, kiboko ya Mbowe aliyewwzesha Mwamba kuachia jimbo la ufalme.....

Kwamba yuko huru leo,kila aina ya mbinu za kumkomoa hatimae zimekwama!

Na lolote likimpata tutaanza na nyinyi hawa hawa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom