Mchungaji huyu mwenye upako Kama yule Mackenzie wa Kenya anayelaza wagonjwa zaidi ya miambili kwa gharama za elfu sitini akiwa na wagonjwa mahtuti waliotoroka mahospitalini amekamatwa na kanisa...
Rais Samia Suluhu leo Juni 09, 2023 amesema sekta binafsi ndiyo itakayoitoa Tanzania kiuchumi, ameyasema hayo wakati akishiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara(TNBC).
Rais Samia...
Spika anasema wacheni kupotosha:
--
Spika wa Bunge, Dr Tulia Ackson ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizosambaa zikidai kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari limesharidhia...
Ndugu zangu kwa vigezo vya privatization tuliuza kila kitu baadae tukaona tumekosea tukavichukua Vyote.
Hakuna mwarabu wala Mzungu atakuja kuwekeza kwa manufaa ya mwafrika kila sehemu ya Afrika...
Kwanza ni mfuasi na kiongozi mwandamizi wa lile kundi alilotoka Ndugai, kundi lililotaka Rais Samia asigombee 2025 na kupanga mikakati ya kumdhoofisha Mh. Rais.
Pili ni mtu asiyeamini katika kazi...
Tulia Ackson ni mtu ambaye hakuhitaji katiba mpya na alilisimamia hili vizuri Bungeni wakati wa maoni ya rasimu ya warioba na ndio akapata umaarufu uliomsababisha kuteuliwa naibu mwana sheria mkuu...
Amechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe.
Anasema, “kwa mujibu...
Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo...
Tunatoa sana ushauri humu JF na wakati mwingine tunaonekana kama wavurugaji waliotumwa na wapinzani au watu tusiokuwa na uzalendo na taifa letu, mwisho wa siku ushauri inapuuzwa na kumsikia mama...
Sijui kama ni unafiki, ulaghai, akili kidogo au tamaa, ambavyo huweza kumfanya mtu kuwa mtumwa wa ujinga.
Hivi karibuni, Naibu Spika Tulia, mbele ya Rais wakati Rais akiwaapisha mawaziri...
Linapokuja suala la mali au madaraka huenda kundi la wanawake ndio kinara wa kuvuna kirahisi sana, iwe kwa haki au kwa hila, wanawake ni wavunaji tu.
Wakati watawala wa CCM walipokuwa wanawapanga...
Jambo Jambo?
Niko zangu Kahama na leo sijaenda kibaruani kwasababu ya mafua makali na homa kimtindo.
Nikaona ni wasaa wa kufuatilia “Bunge kibogoyo,” mwanzoni chaneli zote za bongo ziligoma...
Dodoma. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameendelea kuing'ang'ania Wizara ya Nishati kuhusu mradi wa bwawa la umeme la Mwalimu Julius Nyerere safari hii alitaka iundwe tume ya kuchunguza.
Mpina...
Pokeeni Maono yangu haya na wekeni kumbukumbu sahihi,
<<<<<< Tumsikilize kidogo Rais ajae >>>>>>
Huyu ndiye Rais wa awamu ya saba 2030-2040 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mungu amsimamie...
Spika wa bunge Dr Tulia amesema Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) ni mali ya Serikali kwa 100%
Dr Tulia alikuwa anakazia kauli ya mbunge wa Hai Ndugu Mafuwe aliyadai Serikali ilinunua shea...
Kuna kila dalili kwamba huyu Mama ataweka rekodi mpya kwenye siasa za Tanzania , hasa kwenye Historia ya Bunge la Tanzania.
Kwa Mujibu wa macho yangu Tulia Ackson hatorudi Bungeni 2025 na zipo...
Kufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu.
Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana...
Rais aliyetimuliwa madarakani al Bashir aliwamilikisha na kubinafisisha kila kitu kwa waart asilimia kubwa ya uchumi wa Sudan ukawa chini ya Waarabu.
Wale wasio kuwa na ukaribu na waarabu wakawa...
Dkt. Tulia Ackson ambaye ni spika wetu ndiyo kwa sasa tishio kubwa sana kwa katiba mpya na mwenendo wa sheria na maendeleo kwa nchi yetu.
Huyu spika ambaye aliingizwa baada ya kutetea sana Uraisi...
Kuna tetesi kuwa baadhi ya wabunge wamejipanga kuwasilisha hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson baada ya kuonekana wazi kushindwa kuuongoza mhimili huo kwa manufaa...