Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiwasikiliza wabunge Hakuna aliyekuwa anatoa elimu Bali mama anaupiga mwingi na mipasho. Ukiwasikiliaa wabunge na wote waliochangia kutetea huwasikii wakigusia vile vipengele vinavyolalamikiwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Bila kujali faida au hasara zake mkataba huu haupaswi kuendelea kwasababu unavunja katiba tayari.(Maslahi ya Taifa). Umoja wetu ni TUNU za Taifa. DP World wameshatugawa tayari na kuleta upya Ufa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Utangulizi Kwa kuzingatia masharti ya Ibara ya 63 (3) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwani Bunge lingemkatalia Prof Mbarawa ingekuwaje Au lingefanyia marekebisho stahiki kwenye vifungu Vya Mkataba unadhani hii mijadala ingekuwepo leo Waziri Hamza wa SMZ alisema Watanganyika ni...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Mali zote za nchi hii ni zetu sote watanzania bila kujali dini zetu Hakuna mwenye haki zaidi ya mwingine kwenye Mibaraka ya Mungu juu ya nchi yetu Tanganyika Tunaweza kutofautiana kwenye Imani...
0 Reactions
2 Replies
705 Views
Mbinu ya maandamano kudai haki ya umma inayohujumiwa na mfumo uliopo wa warasimu imepitwa na wakati kwa kuwa ni mbinu ambayo haikuwahi kufanikiwa kuchagiza dola kutoa haki inayodaiwa. Zipo nchi...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabikia kikatiba na kichama. Wengi wao Hawana hata division one...
12 Reactions
211 Replies
10K Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt Francis Michael ametoa onyo kwa baadhi ya Mawakala wa magari ya mizigo wanaoruhusu malori ya mizigo kuingia kwenye foleni yakiwa hayana nyaraka za kuvuka mpaka akisema...
1 Reactions
3 Replies
669 Views
Rais anaenda ziara Mwanza. Hoja:- 1. Anaenda kuondoa wakfu wa serikali toka kwenye bandari hiyo ili kuruhusu DP World kuweka wakfu wao? 2. Anaenda kuwapooza Wasukuma kwa maneno matamu? 3. Ili...
8 Reactions
34 Replies
5K Views
Zitto Kabwe amemteua mh Jussa kuwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameanza safari ya Hispania na Poland kwenye Mikutano mbalimbali Ikumbukwe Mwenyekiti wa Chadema naye yuko...
0 Reactions
2 Replies
687 Views
[emoji625][emoji625] UVCCM-TAIFA [emoji2783]08 Juni 2023 KIJANA SEMA NA UVCCM Vijana ni hazina muhimu sana kwa Taifa letu kwasababu ya upeo wao mkubwa wa kufikiri na uwezo mkubwa katika...
1 Reactions
5 Replies
883 Views
TICTS mmebembelezwa sana juu ya kuongeza ufanisi wa kazi zenu. Mliongezwa mkataba wa miaka mitano ili mboreshe lakini mmeshindwa. Mlipewa proposal muongeze winch za kupakia na kupakua mzigo...
10 Reactions
17 Replies
1K Views
Takriban 90% ya threads zote kwenye JF ndani ya siku hizi 2 zinahusu sakata la mkataba wa Tanzania na DP WORLD ya UAE. 99% ya comments hazikubaliani na namna Rais Samia na Bunge walivyo handle...
20 Reactions
89 Replies
8K Views
[emoji625] UVCCM - TAIFA [emoji2783] 23 Mei, 2023. Dodoma. [emoji288] EDNA NA WAANDISHI WA HABARI Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Ndugu. Edna Lameck amefanya mazungumzo...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Katika miaka kadhaa nyuma wazanzibari walikuwa wakilalamika sana kuhusu kinachoitwa "unyonyaji" na "kukaliwa kimabavu" na watu wa "Bara" ( silipendi hili jina bara) ambayo ndiyo Tanganyika yetu...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau niende kwenye mada yangu moja kwa moja. Kumekuwa na ukiritimba mkubwa wa utekelezaji wa hukumu mbalimbali za mahakama ktk ofisi za wakurugenzi wa halmashauri hapa nchini zinapotolewa na...
0 Reactions
0 Replies
487 Views
Watanzania ni watu wenye hofu na mabadiliko Ilipokuja mwendokasi walipinga Tukaja na bwana la Nyerere walipinga Tukaja na SGR walipinga Sasa ni zamu ya bandari nayo wanapinga Rais Samia kanyaga...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari akitoa ufafanuzi kuhusu suala la ukomo wa muda kwa mikataba ya uendelezaji na uboreshaji ufanisi wa bandari kati ya Tanzania na Dubai.
0 Reactions
3 Replies
575 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…