Zitto Kabwe amfuata Mbowe Ulaya, sasa ACT Wazalendo kuongozwa na Jussa. Nahisi sasa Jussa na TAL watanogesha Mjadala wa Bandari!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,996
Zitto Kabwe amemteua mh Jussa kuwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo

Zitto Kabwe ameanza safari ya Hispania na Poland kwenye Mikutano mbalimbali

Ikumbukwe Mwenyekiti wa Chadema naye yuko Ulaya huko huko kwenye Mikutano mbalimbali

Source: Mwananchi
 
Ona ki zako zilvo kiduchu, Jusa ana akili gani za kubishana na Lisu/
 
Back
Top Bottom