Tathmini ya ziara ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

Shabani Ajaha

Member
Aug 18, 2021
78
60
UVCCM - TAIFA
23 Mei, 2023. Dodoma.
EDNA NA WAANDISHI WA HABARI

Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Ndugu. Edna Lameck amefanya mazungumzo na Waandishi wa habari kwa lengo la kutoa tathimini ya Ziara ya Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa Ndugu. Mohammed Ali Kawaida (MCC) ambayo ilikuwa ni Ziara ya Ukaguzi wa mradi wa Vijana wa Jenga Kesho Iliyo Bora yaani (BBT), akizungumza katika Ofisi za Makao Makuu ya Jumuiya ya UVCCM Mkoani Dodoma tarehe 24 Mei, 2023.

#SisiNaMamaMleziWaWana
#AlipoMamaVijanaTupo
#ChamaImaraSerikaliImara
#KulindaNaKujengaUjamaa
#Kaziiendelee

Imetolewa na:
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM-Taifa.

IMG-20230524-WA0393.jpg
IMG-20230524-WA0340.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom