Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau kitendo cha kuanza KAMPENI kabla ya Muda ni ishara tosha kuwa CCM imeshindwa kuwadhibiti wanachama wake waliojiamuliwa kuanza Kampeni kabla ya Muda wake. Mkoani Rukwa Wanachama wa CCM...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mzee Kinana amesema chama kitatumia utamaduni na mila kupata mgombea Urais 2025. Amesema pamoja na demokrasia kuwepo ila kwa muda mrefu inapotokea kupata mgombea Urais tamaduni zinaonyesha kwamba...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Mwaka ndo huu ambao shughuli za wanasiasa kuwa bize zaidi kuliko kipindi kingine Matukio makubwa ambayo yataambatana na shughuli za wanasiasa ni kama ifuatavyo 1,Vikao majimboni vya usiku na...
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Kwa mujibu wa maelezo ya gazeti la Mwananchi wakinukuu maoni ya Luqman Moloto anasema Sekretarieti ya CCM Imejaa Watu "Machawa" au Tegemezi ambao wanakitegemea chama kuliko Chama kuwategemea wao...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Makundi mbali mbali hasa feminists wamekuwa mstari wa mbele kutetea haki za wanawake na usawa hasa katika masuala ya uongozi na wengi wao wamewatolea mfano Rais wa nchi na Spika wa bunge kwamba ni...
2 Reactions
10 Replies
879 Views
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kasimu Majaliwa ametangaza hadharani huko kwao Ruangwa kwamba kwenye Jimbo hilo Rais Samia atashinda Uchaguzi kwa 100%, hapa anazungumzia uchaguzi wa 2025, hata hivyo...
8 Reactions
48 Replies
4K Views
Sisi viongozi wa Jumuiya ya vijana kutoka vyama pinzani vitatu nchini Ngome ya Vijana ACT Wazalendo, Jumuiya ya vijana CUF (JUVICUF) na Jumuiya ya vijana -NCCR Mageuzi ambapo awali tulikuwa pamoja...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwenda kwenye ujenzi wa kanisa moja na kutoa milioni 150 wakati wananchi wanaishi maisha magumu, milioni 100 ingepelekwa maeneo hayo ya Moshi bei ya chakula ikashuka, ingesaidia maelefu, hii ndio...
19 Reactions
64 Replies
7K Views
Huyu muandishi kapewa nyama ya mbuzi za kula siku mbili tatu anaanza kuongea maneno ya kusifia huyo mbunge wake Tabasamu. Je, tasnia ndio inakufa kwa kupata waandishi ambao hawatajua kazi zao za...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Zipo dalili kwamba wanasiasa wenye misuli watatumia sana mbinu chafu kupunguza kasi wapinzania wao. Zipo dalili zote kwamba watu wenye fedha hasa wafanyabiashara watasumbuliwa na kulazimika...
3 Reactions
3 Replies
815 Views
Ndugu zangu watanzania, Baada ya Rais Samia Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,nuru ya wanyonge,simba wa nyika, komandoo wa vita kusaga saga kila mfupa...
6 Reactions
61 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi amesoma Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kutoka mwaka 2020-2023 ambapo ametumia mkutano mkubwa uliofanyika katika...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika kumekucha,kumepambazuka Tanzania. Bendera imepandishwa,imepandishwa na vijana. Ni bendera ya upendo ,upendo kwa Rais samia kipenzi cha vijana aliyeleta na...
5 Reactions
128 Replies
6K Views
Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri...
8 Reactions
72 Replies
4K Views
Jana Jumapili imekua siku nzuri kwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi kufurahi na wananchi wake wa Jimbo la Muhambwe ambapo alipata mwaliko wa uzinduzi wa...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Ndugu Watanzania! Tumeongea Ahobokile Mwaitenda ikiwa ni siku moja baada ya kunusurika kuuawa au kutekwa na watu wasiojulikana. Mwaitenda ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa CHADEMA na alikuwa ni...
26 Reactions
107 Replies
12K Views
Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM. Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa. Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Olengurumwa amesikika akiwaambia vyama vya upinzani wasigombee Urais wa Tanzania, na kwamba ushauri wake huo unataka kinyang'anyiro hicho aachiwe Samia Suluhu Hassan, ambaye kwa akili ya...
12 Reactions
176 Replies
8K Views
Mratibu wa Mtandao wa Utetezi wa Haki za Binadamu Onesmo Olengurumwa amewashauri Viongozi wa Vyama vya Upinzani kutosimamisha mgombea Urais 2025. Olengurumwa amesema Wapinzani wajikite kwenye...
10 Reactions
141 Replies
6K Views
Wanajukwaa kumekua na Siasa mpya ndani ya Nchi yetu iliyopewa jina "Maridhiano" umekua ngumu kutofautisha vyama vya upinzani na chama tawala kwasababu ya Viongozi wao kuwa machawa wa Rais...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Back
Top Bottom