Kwema Ndugu zangu,
Hii sasa ni ya pata nusu mwaka, kila nikipiga namba zilizopo kwenye tovuti ya Rais Samia (www.ikulu.go.tz) hazipokelewi kabisa. Zinakua zinaita tu bila kupokelewa.
Ina maana...
Kama analolisema huyu Mbunge ni kweli basi Spika wa Bunge jiuzulu tafadhali.
Soma >> Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda...
Wakili Fatma Karume aliyebobea kwenye sheria za Uwekezaji amesema Waziri Mbarawa hawezi kusaini Mkataba wowote bila Idhini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikal Jaji Feleshi ambaye ni Mtanganyika na...
Ndugu zangu Watanzania,
Ifahamike ya kuwa ukiwekeza kwa vijana Ni sawa na kwamba umewekeza kwa Taifa ,umewekeza kwenye amani, utulivu na usalama wa Taifa,ukiwapa kipaombele vijana Ni sawa na...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefungua rasmi Ubalozi wake Jijini Jakarta nchini Indonesia.
Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Ubalozi huo, Waziri wa Mambo ya Nje na...
Hakuna mtu anakataa kwamba spika wetu anajua sheria lakini hafanyi kazi nzuri kusaidia serikali. Mfano kwenye huu mkataba angetakiwa kushauri kubadilisha hii MOU kwenye sehemu hizi
1. MOU iwe ya...
ammlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imesema wakati ikiweka lengo la kuhudumia tani milioni 1.5 kwa bandari ya Mtwara ifikapo 2028, lengo hilo limefikiwa mapema, miaka mitano kabla kama...
Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu, kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi.
Chanzo: Raia Mwema
Swali: Zile hela zetu walizotukata tangu...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 53 leo Juni 22, 2023
Mbunge wa Ukonga Mhe. Jerry Slaa amesema Serikali ipokee mawazo mazuri ya wananchi lakini isikubali...
Wakuu,
Hili sakata la bandari limechora mstari, kwa leo naomba nimpe maua mama yetu mpenzi Prof Anna Tibaijuka! Amechora mstari ambao wengi kwa umri wake na nafasi walizopitia wasingeweza...
Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi
yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. ADOLF F. MKENDA (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA...
"Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi. Swali ni je...
wasalam,
Natafakari juu ya mbadala wa Serikali Tanzania, yaani upinzani sipati majibu. Kuna umuhimu wa kua na upinzani kweli? Umuhimu wake uko wapi? Ikiwa kila Jambo linakuja na linapita kama...
GWAJIMA KAZI KAZI
Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Dkt Josephat Gwajima (MNEC) Leo amemaliza kilio Cha wakazi wa Msasani Mtaa wa Bonde la Mpunga Kwa kuzibua mitaro yote na kuiongezea urefu na...
Hata nikiamshwa usingizini na nikaulizwa ni mambo yapi yamtambeba Rais Samia au mgombea yeyote wa CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao kabla ya kupepesa jicho nitakuambia yafuatayo:
Kwanza, furaha na...
Kampuni ya China National Offshore Oil Corporation (CNOOC) na Shirika la TPDCTZ kushirikiana katika uwekezaji katika sekta ya gesi nchini.
Aidha, Kampuni ya CNOOC imeahidi kuendelea kushirikiana...
Mimi sikusomea sheria lakini kazi zangu kwenye multinational companies, imenifanya kuwa mjuzi wa mikataba ya uwekezaji na biashara, kwa kiasi fulani kuwazidi baadhi ya wanasheria. Mara nyingi...
Maamuzi yaliyofanywa ya KUUZA BANDARI YETU YA DARESALAAMU kwa siku na miaka isiyokuwa na ukomo (vizazi na vizazi/milele na milele),Yanaondoa uvumilivu,yanaleta jazba na Hali ya kutowaamini kabisa...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi amedai kuwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne mwaka jana ambaye wazazi wake waliamua kumuoza alilipiwa mahari ya ng'ombe 15.
Akizungumza na...