Sakata la kushuka kwa Bei ya Mahindi: Spika Tulia na Waziri Bashe wawataka wananchi wabebe mahindi yao wakauze NFRA

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
Hatimaye spika tena ameonyesha ubabe kwa wabunge. Amewazuia wasiongee chochote kuhusu mahindi badala yake wawaelekeze wananchi wakajitwishe mahindi yao nakuuza huko NFRA ambako kuna bei nzuri.

Hakika haya ni maafa mengine kwa Taifa letu. Wananchi vijijini ni masikini wa kutupwa lakini hawana mtetezi. Sijamlisha maneno msikilize mwenyewe ajuza huyu .

Hoja yangu
1. Spika anawajua hao NFRA walipo na anajua wakulima wanapo tokea?

2. Hivi wawakilishi wetu kweli ni watoto wa masikini au wamezaliwa angani?



Kwa msisitizo mmemsikia Bashe akisema kwa jeuri ikiwa NFRA wapo na mkulima akaamua kuuza mahindi kwa bei ya chini basi ametaka mwenyewe.

Bashe unaakili kweli?
Hii nchi nachoka mimi!
 
Soma hapa
Screenshot_20230621-230547.jpg
 
Wewe umemuamini? Tatizo ni kuwa anasema bei elekezi ni kama 80000 kwa gunia wakati mbozi ilianza 120000, ikaja 100000 ikaja 80000 ikaja 60000 sauvi ni about 48000 kwa gunia na bei inashuka kila jua likizama. Hajajibu hilo ana bwabwaja tuu bila kuwasaidia wanyonge
Logic ya huu uzi wako ni nin labda?
 
Back
Top Bottom