JE TENDA YA KUMTAFUTA MWEKEZAJI WA BANDARI ILITANGAZWA LINI ?

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Wadau nawasabahi.Kuna JAMBO nataka nijue juu ya UPATIKANAJI wa Mwekezaji DP WORLD ktk BANDARI yetu.
Je Serikali ilitangaza TENDA ya kutafuta Mwekezaji? Mbona Wananchi hatukuisikia wala kuisoma hiyo TENDA?
Je Makampuni mangapi yaliomba?
Kama haikutangaza DP WORLD amepataje hiyo TENDA hali haikutangazwa?
Kwanini kulifanyika DUBAI TOUR? Nani aliigharamia ?
Na kwanini Waandishi wa Habari Wanasiasa Wabunge Wafanyabiasha na Watu Mashuhuri ndio wahusishwe? Na kwanini iwe SIRI?
 
Mkuu,ulitaka na wewe uombe tenda?Tulia nchi ipate tija.Tenda zinazotangazwa ni za ujenzi wa madarasa na vyoo huko kwenye kata.
 
Siasa ina nguvu sana hapa kwetu, kwahiyo usipate tabu sana mkuu maana hakuna unacho weza kubadilisha tena.
 
Tenda muhimu zinazotangazwa ni za kumpata Ester tu 5m keshi zingine tuwaachie wenyewe.
 
Back
Top Bottom