Kwa muda mrefu watanzania wachache walio pewa dhamana ya kuisimamia bandari yetu kuu ya Dar es salaam walikula bila kunawa, mizigo ya watu ilipotea, enzi za uwaziri wa mwakyembe kontena nzima ya...
Nimejaribu Kujiuliza na kufikiria pengine Kwa akili yangu finyu kwamba inawezekanaje Kutenga zaidi ya Bilioni 800 Kwa Ajili ya kujenga Barabara za Mitaa za Jiji la Dar wakati Kuna Barabara Kuu za...
Nguvu nyingi inatumika bIla shaka kupotosha kuhusiana na mkataba huu.
Kwamba tuna aina hIzi za watu mezani:
Ni dhahiri bin shahiri kuwa, kuna wanufaika hapa na bila shaka si wananchi.
Kuna upotoshaji mkubwa umefanywa na Manara ukishabikiwa na madalali wa kugawa bandari zetu kwa muarabu.
Kuweka kumbukumbu za kihistoria sawa hapa JF nitaweka ufafanuzi kumjibu Manara.
1. Bandari...
Nashauri ipelekwe Hoja Binafsi Bungeni(kwa mujibu wa taratibu za Bunge) -Bunge libatilishe Azimio lile na kisha, Makubaliano yaangaliwe upya pale ambapo panapigiwa kelele na wananchi hasa...
Sheria kandamizi ziko vile vile
Teuzi za Watoto wa vigogo Kama kawaida
Nchi Ina vimfumo lundo ambavyo hata yeye mwenyewe hajui chochote
Mikataba mibovu ni Kama maji ya kunywa
Matumizi mabovu ya...
Kwenye sakata la Bandari tumegundua kumbe Dubai sio nchi na haina hadhi ya kuridhia mikataba ya kinchi, hivyo kilikuwa ni kimbelembele cha kijinga cha bunge la Tanzania kuingia kichwa kichwa na...
Huyu jamaa alikuwa na majibu ya ajabu sana na maneno makali.
Nakumbuka siku moja alikuwa anahojiwa BBC na Tido Mhando, kwa kweli majibu aliyomjibu yalikuwa ni kichefuchefu, na hakika...
Halafu tutaumaliza huu ubishi. Kwa sababu ubishi sasa hivi ni whether Rais anapaswa kujiuzulu au Mkataba unahitaji marekebisho kidogo. Mi nadhani Mkataba unahitaji slight alterations,halafu...
Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema mjadala unaoendelea kuhusu uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam usiligawe Taifa kwa sababu Serikali ya awamu ya sita ni sikivu...
Baba askofu Dr Bagonza PhD anesema Kwenye Mkataba wa Bandari na DP World hatuzungumzii Makanisa wala Misikiti
Baba askofu amesema Watu wasijifanye ni Wakristo kuliko Kristo au Waislamu kuliko...
Ukimuuliza mkinga yeyote yule pale Kariakoo na mimi nikiwemo, usumbufu tunaopata bandarini kwa sasa ni mkubwa sana. Tumegeuzwa sisi ndio walisha familia wa wafanyakazi wa bandari na TRA...
Kwako mzee wetu Hashim Rungwe. Shikamoo.
Hivi sasa nchini mwetu kuna mjadala mzito sana wa mkataba wa bandari. Mjadala huu umewahusisha wananchi wengi wakiwemo wasomi na wataalamu wa sheria...
CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA
(CHAUMMA)
ILANI YA UCHAGUZI
(MANIFESTO)
JULY 2020
IMETOLEWA NA HAMASHAURI KUU YA TAIFA
CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA
MTAA WA KIJITONYAMA, KINONDONI DAR ES SALAAM
JULY...
Itabidi Raisi ukubali kua watanzania tumestukia mpango ovu uliotaka kutekelezeka achana nao tuachie bandari yetu, niwazi kua mkataba huo kila mtu anaona kua si mzuli hata wazili mkuu na...
Kazi kwenu si mlikataa kubadiliaha jina sasa “wenyewe” wamekuja kuchukuwa Bandari yao, jina letu la Mji wetu ni Mzizima na siyo Dar es salaam kwanza (Dar es slaam) jina baya hata kulitamka ni shida, …
Tujiulize kama hakuna rushwa kwanini Serikali wanakuwa wagumu kukubali ushauri na kufanya marekebisho ya MOU kwa manufaa ya nchi. Mikataba ya baadae haitakuwa ya wazi! MOU ndiyo muhumu sana...
Waungwana salaam
Ni bayana kwa mujibu wa katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 ibara ya 118 Ikisomwa pamoja na ibara ya 120 zinaweka wazi kuwa Jaji Mkuu atastaafu punde atakapotimiza umri wa miaka 65...