Sizitaki mbichi hizi.Dar es salaam kwanza (Dar es slaam) jina baya hata kulitamka ni shida, …
Atapatikana Rais atakaebadilisha jina lirudi lile la Kizaramo asilia Mzizima❤️Kazi kwenu si mlikataa kubadiliaha jina sasa “wenyewe” wamekuja kuchukuwa Bandari yao, jina letu la Mji wetu ni Mzizima na siyo Dar es salaam kwanza (Dar es slaam) jina baya hata kulitamka ni shida, …