Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba Shetani hajawahi kuwa na Rafiki , nadhani sasa mmeanza kuelewa tulichomaanisha .
Ukitetea Wananchi hata kama wewe ni Mwanaccm , ni lazima...
Ndio habari zinazojiri huko Urusi. Kiongozi wa Wagner Group kikundi cha wapiganaji binafsi kilichokuwa kinaisaidia Urusi kwenye vita Ukraine amefarakana na waziri wa ulinzi wa Urusi.
Kumekuwa na...
Kuanzia Marangu Mtoni hadi Rombo Tarakea wenye vituo vya mafuta wamegoma kuuza mafuta.
Wanaoelekea njia hiyo wahakikishe wamejaza mafuta ya kutosha.
Magari yamepaki njiani Mengi inabadi watu...
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo,amelitaka kanisa hilo liongozwe kwa misingi ya kanuni,sheria na taratibu ambazo wamejiwekea ili kutokuingia katika...
NANE NANE MBEYA 2023
KARIBUNI BANDA LA WILAYA YA LUDEWA
Maonyesho ya Kilimo - Nane Nane 2023 yafunguliwa leo tarehe 01.08.2023 katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya ambapo mgeni rasmi...
Ndugu zanguni Watanzania, tangu ulipozuka mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na DP World kumetokea maoni mengi kutoka kwa Watanzania wa makundi mbalimbali wakiwemo viongozi wa Dini, ambao wengi...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo chini ya Makamu Mwenyekiti Mhe. Ramadhan Suleiman Ramadhan leo Agosti 23, 2023 imepokea na kujadili taarifa ya Uchambuzi wa Sheria Ndogo zilizowasilishwa...
Ujumbe huu uwafikie Wana CCM wenzangu.
Kwanza mimi binafsi nawashangaa sana Wanachama wenzangu Wanaoshadidia kwa ushabiki suala la Mkataba wa Bandari kiasi kwamba wengine wanaleta kejeli mbele ya...
Habari
Nashindwa kabisa kabisa kuwaelewa hawa maaskofu wa kanisa katoliki. Mliitwa wote na madhehebu mengine kuhusu suala la uwekezawa bandarini. Inakuaje mnatoka pekee yenu kuja kutoa tamko je...
Watanzania wengi hawana uwezo wa ku access platform ambazo zitawawezesha kujua taarifa za yanayoendelea nchini mwao hivyo wengi huamua kutokana na wanayoyaona tbc.
mf.hii jf leo ina member...
Ombi langu kwa serikali ya JMT:
Mimi kama mwananchi wa taifa hili la Tanzania nina ombi kwa serikali yangu ya JMT kuruhusu huduma maalumu ya kujitoa uhai (Euthanasia) kwa magonjwa maalumu tu...
Habari!
Hili suala la BANDARI ambalo limeleta amsha amsha takribani miezi 3 sasa. Watu wanalichukulia jambo hili kawaida. Wengine wanaamini huenda Rais Samia kahongwa pesa ili aupitishe haraka...
Najaribu kuwaza kwa sauti nzito lakini yenye utulivu wa kutosha tutakayoyasikia au vizazi vyetu watakayotamani kuyasikia kutoka kwetu miaka 50-100 ijayo juu ya uongozi wa Rais Samia.
Kama vile...
Kwenye magumu marehemu wanakumbukwa.
Hivi pamoja na akili zake Magufuli naamini asingeingia ujinga wa kugawa gateway ya nchi kizembe namna hiyo. Na bado naamini mtu mwenye akili timamu kamwe...
Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.
Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania...
Ujumbe muhimu kuwafikia viongozi wa juu Wastaafu na walio madarakani juu ya dhana ya kuchanganya dini na siasa kama nilivyoukuta mtandaoni. Somo tosha;
*******
Kuna tofauti kubwa kati ya...
Mchungaji Lusekelo wa Kanisa la Upako amesema maaskofu wa Katoliki wanapaswa kuomba radhi kwa kutoa Waraka wa namna ile
Lusekelo amesema ataliombea Kanisa Katoliki kwa Mungu wa mbinguni ili...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, amesema 2025 njia itakua nyeupe kwa chama hicho kushika Dola kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya makubwa...
Alianza Ben haijulikani alipotea au alipotezwa akaibuka Mdude.
Mdude akadhibitiwa kwa tahadhari kubwa sana Lakini akashindikana na amekuwa Sugu zaidi.
Ghafla kaibuka Mwabukusi katika Mfumo...
Akiwa jijini Dar es Salaam, Manispaa ya Ubungo, Ndugu Kawaida ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa amerekodiwa akisema CCM ndiyo iliyopigania uhuru na pia imehusika na mapinduzi ya Zanzibar. Na...