Komredi Kawaida: CCM ilipigania uhuru wa Tanzania na Mapinduzi ya Zanzibar

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,233
22,317
Akiwa jijini Dar es Salaam, Manispaa ya Ubungo, Ndugu Kawaida ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa amerekodiwa akisema CCM ndiyo iliyopigania uhuru na pia imehusika na mapinduzi ya Zanzibar. Na baada ya hapo ndo ikaleta muungano.

Ikumbukwe uhuru wa Tanzania ulipatikana 1961 kupitia chama cha TANU wakati mapinduzi ya Zanzibar ni 1964 kupitia ASP. CCM ilizaliwa mwaka 1977 baada ya TANU na ASP kuungana.

Ifike sehemu hawa vijana wawe wanatafakari kabla ya kuongea jambo.

Pia Admin wa page ya UVCCM nae ni wa kulaumiwa kwa kukurupuka kupost. Komredi Kawaida alikuwa na point kubwa ila hakuiweka vizuri mwanzoni.

Ni kweli CCM ina uchungu na nchi hii ila kusema CCM ilipigania uhuru ni kuivuruga na kuipoteza historia ya nchi.

Mimi kama mzalendo ninawaasa vijana wa CCM wasikurupuke kutamka mambo wasiyo na uhakika nayo. Pia wajisomee mambo mbalimbali kuhusu historia ya nchi yao pendwa.

Ambao walileta uhuru siyo wanaCCM tu. Wengine waiilisha hamia Chadema, ACT, CUF na kwingine.
Haya kama wangepigania uhuru siyo sababu ya kugang'ania madarakani hata kama wanaharibu
Jibu zuri sana
 
Vijana wameshaishiwa hoje wamebalkiza vioja.

Watawala wanatupiga sana afu anatokea mtu anaisifu as is kuna sehemu unaweza ukaongea na CCM yenyewe. Watuache.
 
Tanzania haijawahi kuwa chini ya ukoloni, wala haijawahi kupata uhuru.

Tanganyika ilikuwa chini ya wakoloni, na ndiyo ilipata uhuru wake mwaka 1961.

Uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa na watu wengi wakiongozwa na chama cha TANU, siyo CCM.

Uhuru wa Zanzibari ulipiganiwa na watawala wa kiarabu huku mapinduzi yakiratibiwa chini ya ASP.
 
Akiwa jijini Dar es Salaam, Manispaa ya Ubungo, Ndugu Kawaida ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa amerekodiwa akisema CCM ndiyo iliyopigania uhuru na pia imehusika na mapinduzi ya Zanzibar. Na baada ya hapo ndo ikaleta muungano...
Nchi iko chini ya familia ya kikwete
 
Akiwa jijini Dar es Salaam, Manispaa ya Ubungo, Ndugu Kawaida ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa amerekodiwa akisema CCM ndiyo iliyopigania uhuru na pia imehusika na mapinduzi ya Zanzibar. Na baada ya hapo ndo ikaleta muungano.

Ikumbukwe uhuru wa Tanzania ulipatikana 1961 kupitia chama cha TANU wakati mapinduzi ya Zanzibar ni 1964 kupitia ASP. CCM ilizaliwa mwaka 1977 baada ya TANU na ASP kuungana.

Ifike sehemu hawa vijana wawe wanatafakari kabla ya kuongea jambo.

Pia Admin wa page ya UVCCM nae ni wa kulaumiwa kwa kukurupuka kupost. Komredi Kawaida alikuwa na point kubwa ila hakuiweka vizuri mwanzoni.

Ni kweli CCM ina uchungu na nchi hii ila kusema CCM ilipigania uhuru ni kuivuruga na kuipoteza historia ya nchi.

Mimi kama mzalendo ninawaasa vijana wa CCM wasikurupuke kutamka mambo wasiyo na uhakika nayo. Pia wajisomee mambo mbalimbali kuhusu historia ya nchi yao pendwa.
Walio na uchungu na nchi ni wananchi na sio CCM.Mali zote za CCM ni za watanzania wote.Walikuwa wakitozwa pesa kuzitafuta mali hizo. Waliopigania uhuru ni Watanzania na sio TANU,ASP Wala CCM
 
Tanzania haijawahi kuwa chini ya ukoloni, wala haijawahi kupata uhuru.
Tanganyika ilikuwa chini ya wakoloni, na ndiyo ilipata uhuru wake mwaka 1961.
Uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa na watu wengi wakiongozwa na chama cha TANU, siyo CCM.
Uhuru wa Zanzibari ulipiganiwa na watawala wa kiarabu huku mapinduzi yakiratibiwa chini ya ASP.
Sahihi kabisa
 
Akiwa jijini Dar es Salaam, Manispaa ya Ubungo, Ndugu Kawaida ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa amerekodiwa akisema CCM ndiyo iliyopigania uhuru na pia imehusika na mapinduzi ya Zanzibar. Na baada ya hapo ndo ikaleta muungano.

Ikumbukwe uhuru wa Tanzania ulipatikana 1961 kupitia chama cha TANU wakati mapinduzi ya Zanzibar ni 1964 kupitia ASP. CCM ilizaliwa mwaka 1977 baada ya TANU na ASP kuungana.

Ifike sehemu hawa vijana wawe wanatafakari kabla ya kuongea jambo.

Pia Admin wa page ya UVCCM nae ni wa kulaumiwa kwa kukurupuka kupost. Komredi Kawaida alikuwa na point kubwa ila hakuiweka vizuri mwanzoni.

Ni kweli CCM ina uchungu na nchi hii ila kusema CCM ilipigania uhuru ni kuivuruga na kuipoteza historia ya nchi.

Mimi kama mzalendo ninawaasa vijana wa CCM wasikurupuke kutamka mambo wasiyo na uhakika nayo. Pia wajisomee mambo mbalimbali kuhusu historia ya nchi yao pendwa.
Nilikuwepo 1961 na nilisherehekea UHURU wa Tanganyika. Hakukuwepo na nchi iitwayo TANZANIA kwa hapa Afrika iliyopata uhuru tarehe 9 Dec 1961. Labda ni katika kontinenti la Asia?
 
Back
Top Bottom