CHADEMA inazuia Watanzania kuanzisha vyama vingine vya Siasa?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,307
33,924
Imekuwa kama ni gubu dhidi ya CHADEMA . Ni kama vile CHADEMA inashutumiwa kila wakati jambo fulani linapokwenda mrama nchini Tanzania.

Lakini shutuma kubwa kwa CHADEMA ni kuwa ama kitasemwa na CCM kama ni chama hatari Kwa maslahi ya taifa au na vyama vingine kuwa CHADEMA ni dhaifu dhidi ya CCM.

Kama CHADEMA ni dhaifu Kwani Kuna watu wengine Wamezuiwa kuanzisha au kuimarisha vyama vingine viwe imara kuliko CHADEMA?

Msijifanye ni wema kwa CHADEMA wakati mnaiuchukia.
 
Nimemsikiliza Freeman Mbowe, na hatukupishana sana kwa maelezo. Maelezo yake kuhusu juhudi za Sauti za Watanzania/Watanganyika.

Tutaelewana taratibu hapa. Pay attention.

Ndio, CHADEMA inawazuia "Watanzania" kuanzisha chama. Wamewasusia. Ni wakususa susa.

Namalizia uji.
 
Imekuwa kama ni gubu dhidi ya CHADEMA . Ni kama vile CHADEMA inashutumiwa kila wakati jambo fulani linapokwenda mrama nchini Tanzania.

Lakini shutuma kubwa kwa CHADEMA ni kuwa ama kitasemwa na CCM kama ni chama hatari Kwa maslahi ya taifa au na vyama vingine kuwa CHADEMA ni dhaifu dhidi ya CCM.

Kama CHADEMA ni dhaifu Kwani Kuna watu wengine Wamezuiwa kuanzisha au kuimarisha vyama vingine viwe imara kuliko CHADEMA?

Msijifanye ni wema kwa CHADEMA wakati mnaiuchukia.
Yaani una akili za kipoyoyo!
Stup..
 
Wana ccm wanaiogopa cdm kuliko hata covid.
 
Nawewe susa
Duh!

Nchi yetu sote. Tukisusiana mwisho wake tutatawaliwa.

Hakuna jinsi ya kujikwamua kutoka hapa tulipo, bali kwa kushirikiana, tukubaliane kwa kutokukubaliana ali mradi tuvuke hapa tulipo, Nchin imesimama(sintofahamu zimezidi)na inakosa mwelekeo.... Nchi inahitaji mapinduzi.

Hivi, Kwanini CHADEMA imewasusia Sauti ya Watanzania?
 
Back
Top Bottom