Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari zenu wanaJF wenzangu, Ki ukweli hili suala la bandari ilikuwa ni lazima litokee ili watanzania tuweze kuwajua maadui wetu wa taifa. Lakini pia ilikuwa ni lazima litokee ili tuweze kuwajua...
6 Reactions
89 Replies
7K Views
Mkuu wa Majeshi nchini General Jacob Mgunda amesema ni marufuku Wanajeshi kujiingiza kwenye Siasa Kazi ya Jeshi ni kulinda amani na kuzalisha mali Siyo kuifanya siasa, amesema CDF Mkunda...
11 Reactions
47 Replies
8K Views
Ama kweli dunia inakwenda kasi sana. Kwamba Dkt. Slaa, balozi wa Hayati Magufuli leo yuko korokoloni tena chini ya awamu ya 6? Ikumbukwe hata kina Mbowe hayakuwakuta ya kuwakuta kwenye awamu...
14 Reactions
103 Replies
12K Views
Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo: Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai...
3 Reactions
71 Replies
4K Views
Kwa mtindo huu wa kamata weka ndani bambikiza kesi, mama samia ataliingiza taifa kwenye giza la kiuchumi ukizingatia yeye hana mbinu mbadala za kuinua uchumi wa nchi wazo kuu kwake ni kukopo tu...
7 Reactions
71 Replies
5K Views
Ukweli ni kwamba mdude ni jasiri wa kiwango cha kutisha, wengi humu sisi ni wajasiri wa kwenye keybord tu ila hatufikii hata robo ya Ujasiri wa mdude. Huyu jamaa namuombea siku 1 aje kuwepo...
12 Reactions
45 Replies
2K Views
Ally Bananga ni mwanasiasa wa hovyo zaidi kwa wakati huu hapa nchini. Baada ya Dk Slaa kukamatwa kwa tuhuma za Uhaini Ally Bananga kupitia akaunti yake ya Instagram alianza kutoa hukumu na...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Ninaweza kuwa nakosea, lakini kwa nafsi yangu nipo sahihi. Nimefurahishwa sana kwa kitendo cha serikali kumshikilia Dr Slaa. Nimefurahi sana anapohenyeka. Binafsi...
51 Reactions
110 Replies
7K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu ameshuhudia kusainiwa kwa fedha kiasi cha Sh. Bilioni 1.6 zitakazotolewa na Serikali ya Ufaransa kusaidia wasanii katika sekta ya...
0 Reactions
1 Replies
506 Views
Amemteua Jaji Mstaafu Steven Bwana kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma kwa kipindi cha miaka mitatu Adha, ameteua Makamishna watano wa Tume hiyo ambao ni George D. Yambesi, Balozi Mstaafu...
3 Reactions
47 Replies
12K Views
Serikali ikiendelea kuziba masikio wajue masikio hayo yanaenda kupasuka , nchi hii wasomi ni wengi na wenye upeo mkubwa serikali isiishi kwa kujiona kwamba kwa vile ni viongozi wa umma kwamba wao...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa...
24 Reactions
180 Replies
21K Views
WANAUKUMBI. Hii ni kauli ya Dr Slaa. Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt...
18 Reactions
595 Replies
29K Views
Askofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake. Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo nauliza swali fupi tu CCM ni kichwa ngumu...au ni jiko la kupikia fitina? Tangu mwanzo kabisa, kelele hizi za Bandari zetu na wawekezaji toka Emirate yaani DPW , tumekuwa tukikataa ubovu wa...
1 Reactions
3 Replies
745 Views
Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria. --- Mawakili wa...
24 Reactions
77 Replies
8K Views
Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika...
22 Reactions
2K Replies
125K Views
Kakaa Kimya si kwamba hana cha kusema Ila ameupima upepo Naona kuna memo nyingi anapitia moja moja, Nyingine anakuwa kaweka upande wa zilizosomwa na kuirejea wakati hajamalizana na zilizopo...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema hayo kupitia chapisho aliloandika kupitia Mtandao wa X (Twitter). Nape amesema "Moja ya kauli za hivi majuzi zaidi kutoka kwa...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…