Niwe mkweli kabisa, Nimefurahi Dkt. Slaa kuwekwa ndani

kikaniki

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
502
938
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Ninaweza kuwa nakosea, lakini kwa nafsi yangu nipo sahihi.

Nimefurahishwa sana kwa kitendo cha serikali kumshikilia Dr Slaa. Nimefurahi sana anapohenyeka. Binafsi naungana na msimamo wa wale wanaotaka mkataba wa DP World uangaliwe upya na maboresho yafanyike. Hapo namuunga mkono Dr Slaa na wakosoaji wengine. Ila kwa kukamatwa kwa Dr Slaa, nimefurahi sana, haijalishi kuwa ni kweli alipanga uhaini au lah.. hilo halinihusu.

Nilikuwa nampenda sana na kumuamini mno Dr Slaa. Ila Kwa kitendo chake cha kuwasaliti, kuwaponda Chadema na kuisaidia CCM mwaka 2015 nilimtoa kabisa thamani. Mwaka 2015 baada ya kuitosa CDM nilimpigia simu (nashukuru aliipokea) nikamuomba kwa heshima kubwa kuwa, kama hajaridhishwa na ujio wa Lowassa Chadema, basi akae kimya bila kujiingiza kuivuruga Chadema na UKAWA kwa ujumla. Alinisikiliza na akajibu, nimekuelewa. Lakini baada ya hapo akaanza kutoa matamko, kupitia mikutano na waandishi wa habari.

Hayo yakapita, akaenda Canada na baadae akateuliwa kuwa Balozi huko ughaibuni.

Baada ya muda, mkataba wake wa Ubalozi ukaisha. Karudi nyumbani. Mwenyekiti wake wa Chama wa zamani Freeman Mbowe yupo matatizoni kwa kesi ya Ugaidi. Watu wanapaza sauti kuwa, Mbowe sio Gaidi aachiwe huru. Dr Slaa anaibuka kutoka katika makazi yake na kusema, ANASIKITISHWA SANA NA WATU WANAOSEMA MBOWE SIO GAIDI. ANASHAURI WATU HAO WAKAE KIMYA WAKISUBIRI SERIKALI NA MAHAKAMA VIFANYE KAZI YAO. Mungu jaalia, Mbowe ametoka na yupo huru. Kibao kimegeuka.

Acha nae asote. Nimefurahi sana
 
Hizi sasa ndio roho mbaya zenyewe

Sasa hapa na wewe huna tofauti na yeye

Yeye aliomba mabaya yamkute mwenzake yakamkuta na wewe unaomba mabaya yamkute yamemkuta sasa anaefuata si wewe sasa kukutwa na wana korokoroni?

Sio sawa tupendane
 
On top of that alisema tukio la kupigwa Lisu risasi ni la kawaida. To crown it all akasema Chadema wanatekana. He was so foolish and hateful that no sensible person could believe that Slaa can behave and utter such words!

Kwa ubinadamu nadhani uko sahihi! Lakini kwa vile tunapigani bandari zetu, basi tumuunge mkono.
ILA kama ulivyosema akipewa ubalozi atageuka kuwa mpuuzi.

UKO SAHIHI
 
Ukiona mwenzako ananyolewa, basi wewe tia maji. Unalifulahia jambo hili la uonevu juu yake, basi tambua fika ya kwamba siku na wewe unapita katika kivuli cha mauti, mahasimu wako watakenua macho mbele ya macho yako.

Ni vyema ukaficha chuki yako kwa ndugu ama jirani yako, kwa kuwa siku akineemeka hali wewe umedhoofika japo kidogo anaweza kukusitiri. Maumivu yake yawe kipimo cha imani yako kwa jirani yako, kwa kadiri ya upendo unavyohimizwa ndani ya maandiko matakatifu.

Take note that, this is just an ordeal, and will pass away while left you ashamed.
 
Mbowe kakutuma umtetee? Mbowe yeye mwenyewe juzi kati si walikuwa wote na Slaa? Kwenyr Siasa hakuna Adui wa kudumu so wacha upumbavu, Ukifuarahi masiha ya wazazi wako yatabadilika kule kijiini?
Nadhani anajaribu kuweka rekodi sawa. Dr Slaa aliongea maneno mengi ya kuponda upinzani. Hata shambulizi la Lissu akisema CHADEMA wanatekana. Nadhani wanaweza rekodi sawa kwa watu wengine wenye ndimi mbili.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Ninaweza kuwa nakosea, lakini kwa nafsi yangu nipo sahihi.

Nimefurahishwa sana kwa kitendo cha serikali kumshikilia Dr Slaa. Nimefurahi sana anapohenyeka. Binafsi naungana na msimamo wa wale wanaotaka mkataba wa DP World uangaliwe upya na maboresho yafanyike. Hapo namuunga mkono Dr Slaa na wakosoaji wengine. Ila kwa kukamatwa kwa Dr Slaa, nimefurahi sana, haijalishi kuwa ni kweli alipanga uhaini au lah.. hilo halinihusu.

Nilikuwa nampenda sana na kumuamini mno Dr Slaa. Ila Kwa kitendo chake cha kuwasaliti, kuwaponda Chadema na kuisaidia CCM mwaka 2015 nilimtoa kabisa thamani. Mwaka 2015 baada ya kuitosa CDM nilimpigia simu (nashukuru aliipokea) nikamuomba kwa heshima kubwa kuwa, kama hajaridhishwa na ujio wa Lowassa Chadema, basi akae kimya bila kujiingiza kuivuruga Chadema na UKAWA kwa ujumla. Alinisikiliza na akajibu, nimekuelewa. Lakini baada ya hapo akaanza kutoa matamko, kupitia mikutano na waandishi wa habari.

Hayo yakapita, akaenda Canada na baadae akateuliwa kuwa Balozi huko ughaibuni.

Baada ya muda, mkataba wake wa Ubalozi ukaisha. Karudi nyumbani. Mwenyekiti wake wa Chama wa zamani Freeman Mbowe yupo matatizoni kwa kesi ya Ugaidi. Watu wanapaza sauti kuwa, Mbowe sio Gaidi aachiwe huru. Dr Slaa anaibuka kutoka katika makazi yake na kusema, ANASIKITISHWA SANA NA WATU WANAOSEMA MBOWE SIO GAIDI. ANASHAURI WATU HAO WAKAE KIMYA WAKISUBIRI SERIKALI NA MAHAKAMA VIFANYE KAZI YAO. Mungu jaalia, Mbowe ametoka na yupo huru. Kibao kimegeuka.

Acha nae asote. Nimefurahi sana
Nilikuwa nampenda sana na kumuamini mno Dr Slaa. Ila Kwa kitendo chake cha kuwasaliti, kuwaponda Chadema na kuisaidia CCM mwaka 2015 nilimtoa kabisa thamani. Mwaka 2015 baada ya kuitosa CDM nilimpigia simu (nashukuru aliipokea) nikamuomba kwa heshima kubwa kuwa, kama hajaridhishwa na ujio wa Lowassa Chadema, basi akae kimya bila kujiingiza kuivuruga Chadema na UKAWA kwa ujumla. Alinisikiliza na akajibu, nimekuelewa. Lakini baada ya hapo akaanza kutoa matamko, kupitia mikutano na waandishi wa habari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hata kama ungekuwa wewe hiyo 2015, umeshapitishwa kugombea urais afu baada ya mda mfupi tu unaambiwa anaetakiwa kugombea urais ni yule uliemtangaza miaka zaidi ya 9 kwamba ni fisadi. Ungemnadi je sasa kama sio unafiki tu?

Kila wakati na jambo lake. Kwa sasa Dr Slaa yuko sahihi mno.
 
Unafiki wa kwnza ni ule wa kumpitisha mtu ambaye hajakipigania chama na ni mgeni
Na kumuacha Slaa aliyekipigania chama kwa hali zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Ninaweza kuwa nakosea, lakini kwa nafsi yangu nipo sahihi.

Nimefurahishwa sana kwa kitendo cha serikali kumshikilia Dr Slaa. Nimefurahi sana anapohenyeka. Binafsi naungana na msimamo wa wale wanaotaka mkataba wa DP World uangaliwe upya na maboresho yafanyike. Hapo namuunga mkono Dr Slaa na wakosoaji wengine. Ila kwa kukamatwa kwa Dr Slaa, nimefurahi sana, haijalishi kuwa ni kweli alipanga uhaini au lah.. hilo halinihusu.

Nilikuwa nampenda sana na kumuamini mno Dr Slaa. Ila Kwa kitendo chake cha kuwasaliti, kuwaponda Chadema na kuisaidia CCM mwaka 2015 nilimtoa kabisa thamani. Mwaka 2015 baada ya kuitosa CDM nilimpigia simu (nashukuru aliipokea) nikamuomba kwa heshima kubwa kuwa, kama hajaridhishwa na ujio wa Lowassa Chadema, basi akae kimya bila kujiingiza kuivuruga Chadema na UKAWA kwa ujumla. Alinisikiliza na akajibu, nimekuelewa. Lakini baada ya hapo akaanza kutoa matamko, kupitia mikutano na waandishi wa habari.

Hayo yakapita, akaenda Canada na baadae akateuliwa kuwa Balozi huko ughaibuni.

Baada ya muda, mkataba wake wa Ubalozi ukaisha. Karudi nyumbani. Mwenyekiti wake wa Chama wa zamani Freeman Mbowe yupo matatizoni kwa kesi ya Ugaidi. Watu wanapaza sauti kuwa, Mbowe sio Gaidi aachiwe huru. Dr Slaa anaibuka kutoka katika makazi yake na kusema, ANASIKITISHWA SANA NA WATU WANAOSEMA MBOWE SIO GAIDI. ANASHAURI WATU HAO WAKAE KIMYA WAKISUBIRI SERIKALI NA MAHAKAMA VIFANYE KAZI YAO. Mungu jaalia, Mbowe ametoka na yupo huru. Kibao kimegeuka.

Acha nae asote. Nimefurahi sana
Msikilize Lisu dakika ya 6-9 kuhusu Dr. Slaa kumsema vibaya Lisu

View: https://youtu.be/CoAC2FcVJ3E
 
Hizi sasa ndio roho mbaya zenyewe

Sasa hapa na wewe huna tofauti na yeye

Yeye aliomba mabaya yamkute mwenzake yakamkuta na wewe unaomba mabaya yamkute yamemkuta sasa anaefuata si wewe sasa kukutwa na wana korokoroni?

Sio sawa tupendane
Ndio maana nilisema mwanzoni kuwa, inaweza ikawa ninakosea mbele ya macho ya watu, lakini ninahisi nipo sahihi.
 
Back
Top Bottom