BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,511
- 14,135
Ukweli ni kwamba mdude ni jasiri wa kiwango cha kutisha, wengi humu sisi ni wajasiri wa kwenye keybord tu ila hatufikii hata robo ya Ujasiri wa mdude.
Huyu jamaa namuombea siku 1 aje kuwepo mjengoni make nahisi huo moto wa hapo Bungeni hapatakalila kabisa,na jamaa ana chansi ya kuja kuwa mbunge na ikibidi aanze hata na Udiwani kwanza kabla ya Ubunge.