Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,428
Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya, kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani .

Utetezi wake wa Mali za Tanganyika umempa kesi ya Uhaini .

Screenshot_2023-08-14-21-11-00-1.jpg
----
Update

Wakili wa Dkt. Slaa amtafuta
Baada ya kutokea kwa tetesi za Dkt. Slaa kusafirishwa na kuhamishiwa Mbeya JamiiForums imewasiliana na Wakili wake Dikson Matata ili kupata taarifa hii ambaye naye amesema:

Hizi tetesi zinaweza kuwa kweli kwasababu:

1. Walienda Oysterbay hawajamkuta, Mkuu wa kituo akawaambia amepelekwa Mbweni.

2. Wameenda Mbweni pia hawajamkuta.

Aidha, alipoulizwa kuhusu hatua gani itafuata baada ya kutopatikana kwa Dkt. Slaa Wakili Matata amesema:

Wakishindwa kukupa ushirikiano unaenda mahakamani kufungua maombi ya kulazimisha aletwe mahakamani na polisi (habeas corpus)

Ni maombi ambayo mahakama inalazimisha jeshi la polisi kumleta mtuhumiwa mahakamani ili awe dealt with kwa mujibu wa sheria.
 
Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika , Kwamba Balozi Dr Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika , anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya , kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani .

View attachment 2717521
Kukichwa kutambazuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika , Kwamba Balozi Dr Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika , anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya , kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani .

Utetezi wake wa Mali za Tanganyika umempa kesi ya Uhaini .

View attachment 2717521
Hizi ni sarakasi tu, watamwachia na watawaachia soon, Mungu halali kamwe
 
Back
Top Bottom