Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hadi sasa sijaielewa kama Bunge bado ni Moja walio katika Umoja wa pamoja au wako makundi makundi Bunge lamualika Nabii Mkuu GeoDavie Kufanya Maombi bungeni na barua ya mwaliko ilikabidhiwa kwa...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Vijana waliopo kwenye Vituo atamizi vya mafundo ya Kilimo Bora na ufugaji wa Kisasa wameanza kupata faida ya jasho lao. Hii ni baada ya kuanza kuuza mifugo Yao wanayonenepesha na mbogamboga...
9 Reactions
59 Replies
5K Views
Viongozi wetu wanapatikanaje? Na tunapimaje uwezo wao wa kuongoza? Je tuna mfumo wa kuwatengeneza? Job Description ya Kuwa Rais, Waziri Mkuu, Spika kwa Tanzania inataka vitu gani? Nimekumbuka...
15 Reactions
76 Replies
6K Views
BRICS ni umoja mpya wa kiulimwengu ulioanzishwa na nchi 5 za awali za Brazil, Russia, India, China na South Afrika wenye lengo la kukwepa vikwazo vya kiuchumi, kisiasa, kijeshi na kijamii kutoka...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Bank ya pili katika utengenezaji faida nchini imeamua kurejea Riba yao ya awali wanayotoa mikopo Kwa baadhi ya watu, kutoka asilimia 13% iliyopunguzwa muda si mrefu Hadi asilimia 16%. Hayo...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Maelekezo kutoka ngazi za juu soon yataanza kutekelezwa; tuliona Shinyanga ilivyotumika nguvu kubwa kuwakatisha tamaa wananchi lakini wakashindwa. Huwa mara nyingi upepo wa kisiasa ukionekana...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Katika ziara ya kongamano la uwekezaji huko Lindi nimemsikia wakisema Mama katengeneza mazingira ya wawekezaji ambayo ni rafiki, wawekezaji waje, kaulu ya kwamba sisi matajiri wakati hatuna uwezo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
https://youtu.be/45tUyT29Xx8?si=FiDJLgdgOnGlidgn Nimewaona hawa wataalamu wa "TMA" kupitia Luninga ya "ITV"habari saa mbili jioni hii. wametoa tahadhali ya mvua kubwa za majanga almaarufu kama...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Ushauri tu. Wengine kwa upande wetu tunaona bora zitoke timu kutoka kila upande unaopinga kwa hoja na unaokubali kwa hoja uwekezaji wa Dp world, hizo timu zizunguke nchi nzima kutoa hoja zao...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Mchana, Oktoba 14, 1999, wimbo wa Taifa unasikika redioni na runingani. Kila mtu wima kwenye redio na televisheni. Miaka 24 imepita, sijasahau tangazo. Rais aliyekuwa madarakani, Benjamin Mkapa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ahitimisha Maonesho ya Kwanza ya Madini na Fursa za Uwekezaji Mkoani Lindi #Aelekeza Halmashauri nchini kuandaa Mpango wa Uchimbaji madini endelevu Ruangwa - Lindi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Agosti 20, mwaka huu, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), lillibua miadala baada ya kuitaka Serikali kusitisha mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kiuchumi na kijamii, kati ya...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imekanusha suala linaloendelea mtandaoni kuwa serikali imepitisha Economic Partnership Agreement(EPA) ambayo imetajwa na wasomi wengi kuwa itasababisha...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Utangulizi: Mkataba wa Mashirikiano/Muungano wa Kiuchumi (European Partnership Agreement-EPA) ni makubaliano ya kiuchumi yanayolenga kuunda eneo huru la biashara (Free Trade Area) kati ya nchi za...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
KUSAINIWA MKATABA WA EPA,KUWABEZA WAWEKEZAJI WA NDANI. Nimeona ACT wakitoa hofu yao kama ile ya Hayati Mkapa ya kuhofia bidhaa nyingi nchini hivyo kutowalinda wawekezaji wa ndani. 1. Tujiulize...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Nadhani kwa leo tuishi humu 👇🏽 WHY THE EPA IS NOT BENEFICIAL TO TANZANIA This article was published in The Daily News of Tanzania on 28 July 2016. In the article, the former Tanzanian...
1 Reactions
1 Replies
791 Views
Kama kuna kitu Waislamu tunapaswa kukifanya katika kuandika HISTORIA yetu na ikasomwa kila baada ya sala ni hii ya Ikulu ya Magogoni hapa Dar es salaam maana ni historia yetu na ni halali kwetu...
140 Reactions
215 Replies
16K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika...
15 Reactions
121 Replies
13K Views
Kwa mimi mtu niliyemwona anapiga chapuo ya uwekezaji wa bandari na hataki kabisa kusikia kwamba mkataba una shida ni mmoja tu. Naomba nimtaje then mtatusaidia kuwafahamu wengi kwa ajili ya...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…