Katika mwendelezo wa kupinga mawazo na mfumo wa utawala wa Mwl. Nyerere. Tundu Lissu amepasua jipu ambalo wengi huwa wanaogopa kulipasua pale aliposema kuwa Mwl. Nyerere alikuwa ni "msanii wa...
Mama awali nilimsikia kule mkoa wa arusha kwamba ameamua kukaa kimya na watu walimshangilia sasa sijui kukaa kimya ndiyo kutuaminisha kwamba ni mkomavu wa kisiasa! jambo lililopo mbele yake siyo...
Kama tutaitafuta jamii iliyoonewa/inayoonewa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, (Zaidi Tanganyika) basi ni Waislamu. Waonevu ni Serikali ya CCM. Ajabu ccm wanapofanya madudu...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu ameingia kwenye Jimbo la Msalala , Mkoani Shinyanga , katika ile Oparesheni kabambe ya Chama Chake inayoitwa 255 Katiba.
Mwendo wa sasa ni ule ule wa...
Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka...
Wafuatao ni baadhi ya wabunge ambao hawatarudi 2025 na waandae kabisa makorokoro yao kabisaaa.
Hii ni kutokana na KUTOKUKUBALIKA NA WANANCHI WA JIMBO HUSIKA, KUTOKUPELEKA MAENDELEO MAJIMBONI...
Suala la mkataba wa bandari, wenye vifungu batili, ukitetewa na CCM na Serikali yake, kwamba TPA imeshindwa kuendesha bandari, hivyo apewe DP World yenye uwezo.
Kimsingi Viongozi wa CCM, na...
Asalam,
bado naendelea kujiuliza uliza, je tuna uhuru wa aina gani? je jirani yangu yuko huru? je Mzee Mwanakijiji yuko huru? Je FaizaFox Yuko huru? na Mzee Paschal Mayala yuko Huru? Vipi Mamdenyi...
Shirika hilo la Umeme limesema njia ya umeme itakayozimwa ni kutoka Kidatu kwenda Kihansi kwa siku mbili kuanzia Agosti 26 hadi 28 2023
Umeme utakuwa wa mgawo kwa Saa 12 kuanzia Saa 1 Jioni hadi...
Unauliza kwanini?
Basi jibu ni hili,wengi waliokatwa 2020 kwenye kura za maoni wanarudi kwa kishindo sana na tayari wapo majimboni kujipanga wa kupitia uchaguzi huu mdogo wa 2024, pia waliokatwa...
Ni kisa kinachosikitisha sana. Lakini kina uhusiano mkubwa sana na namna viongozi wanavyopaswa kusikiliza maoni ya wanaowaongoza!
Mara nyingine dreva huchoka. Na pia kuna wakati dreva hupata na...
Mkutano wa Chadema pale Shinyanga Mjini haukuwa na msisimko kwa sababu mambo waliyoongea yalikuwa yanajirudia
Mambo ya DP World yameshawasilishwa kwa Wananchi kwa upana sana kupitia Waraka wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye awezaye kumuinua mtu na kumpa madaraka,huyo ndiye humpa kibali mtu akakubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na watu,huyo ndiye...
Ikiwa kama mwananchi napendekeza serikali kulitoa shirika la Tanesco kwa wawekezaji sababu imeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme wa uhakika. Umeme kwetu unakatika si chini ya mara 8 kwa siku...
Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDINI.
Sikilizeni...
Ukiachilia mbali mkataba wa bandari ambao Serikali imesaini kuwapa bure waarabu wa Dubai bandari zote za Tanganyika za bahari na maziwa makuu, kumbe pia;
1. Inadaiwa serikali imeingia na kusaini...
Ukifuatilia kwa karibu namna gani viongozi wetu wanaendesha nchi hii kwa vyo vyote vile lazima utapata msongo wa mawazo. Kwamba hakuna kitu ambacho sisi Watanzania na hasa Watanganyika tunachoweza...
Mkataba wa Bandari ulivyo unatoa mamlaka yote ya kiuchumi na uendeshaji kwa wageni na unaweka mazingira ya kuwafanya wenyeji kuwa watumwa na vibarua.
Kwa hiyo hatuwezi kunyamazishwa na vitisho...
Pamoja na Mvua kunyesha kuanzia Alfajiri huku Temeke, lakini mpaka sasa kwenye viwanja vya Bulyaga, ambako kuna Mkutano kabambe wa kupinga Mkataba mbovu na kupiga spana madalali wa Bandari za...