utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,846
- 2,512
Unauliza kwanini?
Basi jibu ni hili,wengi waliokatwa 2020 kwenye kura za maoni wanarudi kwa kishindo sana na tayari wapo majimboni kujipanga wa kupitia uchaguzi huu mdogo wa 2024, pia waliokatwa wengi ndio walikuwa wanakubalika na wajumbe sasa wanarudi na mbinu zile zile kuchukua majimbo yao.
Pia wengi waliokatwa 2020 walikuwa Ccm asilia kwa sababu mkulu nae alihitaji kuwa na timu yake na Ccm ambayo angekuwa na nguvu yake lakini kwasasa kumbukeni nchi imeshikwa na Asilia na watu wao lazima warudi na damu changu za asilia kama mimi 2025 tunachukua majimbo.
Ipo siku mtanielewa vizuri.