DIASPORA MLIOPATA URAIA WA NCHI ZA MAGHARIBI ACHENI KUICHAFUA TANZANIA
Anaandika Chigaitan kutoka KIVU DRC.
No, No, sisi sote ni Watanzania hatuna taifa jingine zaidi ya Tanzania, acheni...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa uchungu mkubwa na kwa maumivu makali ya upendo kwa Watanzania, Rais Samia ameonyesha namna ambavyo hapendi kuona wala kusikia wala kukuta Watanzania wanyonge wakiteswa...
Dkt. Slaa ameongea na mwananchi baada kuondolewa hadhi ya ubalozi, Slaa amesema taarifa hizo nae ameziona kwenye mtandao lakini hajutii chochote na nchi alizotumikia wanajua walikuwa na balozi wa...
Habari zenu,
Siku za hivi karibuni Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko ya mabalozi wa Tanzania katika nchi mbalimbali. Kati ya taarifa iliyonishitua ni ya balozi Mbwelwa...
Nimemsikiliza Rais wakati akiwaapisha mawaziri ukweli ni kwamba kuwaza kuwa na uchaguzi kama wa 2020 kwa Rais huyu mwenye ushawishi kidogo au wa wastani ni kutaka kuleta fujo nchini.
Wakati...
Wanajamvi Salam,
Katika siasa hakuna kinachoweza kutokea kwa bahati mbaya.
Kila jambo katika siasa hubuniwa na wabobezi na kupangwa kwa ustadi mkubwa kupindukia, na halafu huchakatwa kwa...
Katika awamu zote zilizopita tulishuhudia mawaziri waliojizolea sifa na kukubalika na wananchi zaidi.
Kiasi ambacho ilifika mahali wakaonekana tishio kwa wakubwa zao. Mfano tu unaweza kuongezea...
Ni wazo tu. Tujaribu kuwaza kwa pamoja kwenye siasa za Tanzania.
Rais Dkt. Samia ni Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambapo kwa mujibu wa Katiba Yao wanasema Rais akianA awamu ya kwanza sharti...
Huyu Dk. Slaa kipindi cha JPM alipokuwa balozi alibadilika sana na kukana kila kitu alichokuwa akikipigia debe alipokuwa upinzani
Kwanza alidai mikutano ya hadhara ni sahihi kufungiwa sababu...
Mama Rais Dkt. Samia nikupe hongera zako kwa kuonesha msimamo katika mambo unayosimamia.
Limepita wimbi hapa na ni kama kilikuwa kipimo cha msimamo wako nadiriki kusema Tanzania imebarikiwa...
*Wadai kuna 'njama za kuchelewesha Katiba Mpya'
MAZUNGUMZO baina ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake, yaliyochukua takribani mwaka mmoja...
Ili kulinda heshima yako na aliyekuteua kwa kukupigania upate ubunge mbeya mjini 2020. Nakusihi 2025,usigombee.
MWAMBUKUSI ndio habari ya mjini.ni ushauri tuu
Wadau naomba kufahamishwa juu ya Umuhimu wa Cheo cha NAIBU WAZIRI MKUU.
Pamoja na Sheria inayompa Rais nguvu ya kuanzisha CHEO chochote nimekuwa najiuliza Kwanini RAIS MWINYI hakukiingiza kwenye...
Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation!
Tulitegemea wangelifanya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa...
1. Baada ya kutajiwa ma-DC 23 wa kutoka Zanzibar wanaofanya kazi bara huku TAMISEMI ikiwa sio Wizara ya Muungano nikajua mama anazingua.
2. Baada ya kuoa Leo mkurugenzi wa bandari huku Tanganyika...
Kila ninapona hawa wanyama wanavuta mikokoteni huku wakicharazwa mijeledi, huwa naumia sana na kuona huu ni ukatili dhidi ya wanyama ila uliohalalishwa na mataifa kwa miaka mingi sana.
Kwanza ni...
Unguja. Wakati wanyamapori hususani simba na chui wakivushwa kwa mara ya kwanza kwenda kisiwani Zanzibar katika maonyesho ya tamasha la Kizimkazi, Ofisa Utalii kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa...
Si rahisi mikoa yote kutoa kiongozi mf. Waziri, majimbo yote wananchi tulikosea kuchagua isopokuwa Mbeya jiji wengine waliosalia hawana uwezo wa kuwa washauri kwenye wizara yoyote hata kujibu...
Samia Suluhu Hassan
Katika Utendaji hii imekaa Vipi? Rais anaweza kumfokea Mkwe? Au Waziri Majaliwa ndo anatumwa akamnong'oneze?
Mbunge wa RUfiji (CCM) Mohamed Mchengerwa ambaye Sasa ni Waziri...
Wafanyabiashara wameshika nchi. Wanaweza kupanga nini wafanye wakati gani. Wanaweza kupata taarifa nyeti za serikali. Wale wa mafuta wamejua bei inaenda kupanda. Kwa hiyo wameficha mafuta ili waje...