Tetesi: Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK-JMT) yanukia Tanzania Bara

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,176
11,593
Wanajamvi Salam,

Katika siasa hakuna kinachoweza kutokea kwa bahati mbaya.

Kila jambo katika siasa hubuniwa na wabobezi na kupangwa kwa ustadi mkubwa kupindukia, na halafu huchakatwa kwa umahiri sana na kisha hutekelezwa na wataalamu kwa umakini na weledi wa hali ya juu mno ili kusudi, malengo na madhumuni mahususi ya kisiasa yaliyo dhamiriwa , yaweze kufanikiwa na kufikiwa kwa uhakika na ufanisi usio na shaka.

Rafiki zangu humu jamvini, Ni suala la muda tu.

Kubuniwa na kuundwa kwa nafasi na ofisi ya Naibu waziri mkuu hakujaja hivihivi tu, kuna lenga kuyafikia malengo mahususi ya kisiasa, na hiyo ni sehemu tu, ya maandalizi lakini pia hiyo ni nafasi maalumu ya upinzani ndani ya serikali ya umoja wa kitaifa inayonukia.

Licha ya nia jema ya kuliunganisha Taifa kupitia jambo hili, usiri mkubwa na ulinzi mkali vimetanda kiasi kwamba, imekua vigumu kubainisha wazi kwamba ni lini hasa serikali hii ya umoja wa kitaifa itaanza rasmi.

Je, ni baada ya tu ya maandalizi kukamilika?

Je, ni kabla au baada ya uchaguzi mkuu 2025?

Nikifanikiwa kupenya kwenye ule usiri sintasita kuwatonya mandugu zangu.

Yote haya yanayotokea hivi sasa ni maandalizi kabambe ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, SUK-JMT or Unity Gov.of United Republic of Tanzania -UGURT).

Subra ni muhimu sana katika tetesi hii na muda muafaka itadhihirika tu my friends.

Tayari jambo hili linaungwa mkono na lina baraka za Jumuiya za kimataifa.

Na huenda Tz ikanufaika pakubwa kisiasa, kiuchumi na kijamii endapo Jambo hili litafanikiwa na litatekelezwa kulingana na matarajio ya wengi hususani Jumuiya hizo za kimataifa na wadau wa Maendeleo duniani.

Maandalizi haya ambayo sote tumeyashihudia.

Ni jukumu sasa la alieteuliwa Naibu waziri mkuu, kuhakikisha anaipanga ofisi hii na inakamilika kimuundo, idara, wafanyakazi, malipo na posho zao, lakini zaidi sana job descriptions kwa ajili ya kiongozi atakae kuja kuitumia ofisi hiyo wakati muafaka.

Haya yote yanafanyika ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya kiongozi huyo ambae inasemekana atapendekezwa na upinzani na kuteuliwa na Rais ili aweze kushika wadhifa huo mkubwa na muhimu na kwhiyo anatakiwa kuikuta na kuitumia ofisi hiyo ikiwa iko katika ukamilifu wake kimuundo na kimfumo.

Na hivyo basi nafasi ya Naibu Waziri Mkuu ni maalumu na mahususi kwa ajili ya opp, pale ambapo maandalizi ya serikali ya umoja wa kitaifa itakapokua tayari kwa wakati muafaka.

Maandalizi ya kisheria na kiutaratibu ili kuipa nguvu na uhalali wa kisheria wa kuwepo kwake yanaendelea kupikwa kitaalamu.

Maandalizi mengine ambayo kwa wakati huu sio muhimu sana kuwekwa wazi kwasasa na kwamba yanaweza kuathiri mazungumzo baina ya gov na opp yanayoendelea huko chobingo na yamesitiriwa kwa umakini mkubwa na kwa utulivu huu ambao sote tunaushuhudia hususani kwa upande wa opp huenda yanaendelea vizuri in favor of them.

Maandalizi mengineyo ni pamoja na mgawanyo na muundo wa wizara ambazo zitaongozwa na upinzani.
Na ktk hili pia wapinzani waliopo kwenye meza ya mazungumzo nao wamekua wagumu kutoa neno juu ya hili.

Wakati muafaka nadhani nalo litakua kwenye puplic domains, let's be patient, calm and wait.

Mniwie radhi, kutumia kiswanglishi kidogo kwenye makala hii, maana nipo kwenye dalala ya Mbagala-Kawe muda huu nimekosa siti, nimesimama lakini hata hivyo nimebanwa hadi najikuta nawaza na kuandika kilugha chetu na English. Samahan sana ndugu zangu.

Nikimalizia tetesi hii muhimu kwa maslahi mapana ya umoja na mshikamano wa Taifa letu.

Friends, ladies and Gentlemens,
Mtihani mkubwa ambao utazikumba pande zote mbili kuja na muafaka wa pamoja yaani upande wa gov na opps.

Je, the ruling party committees na wanachama watakubaliana na hili la SUK-JMT? 😳

Vipi upinzani nao?🤔

Kwa uchu, ubinafsi na tamaa ulioko opp, kuna atakae kubali kupigwa baridi nje ya serikali hii ya Umoja wa kitaifa inayonukia?😜

Mtihani mwingine ni kwamba, ni mzalendo gani, anae aminika na kukubalika miongoni mwa viongozi wa upinzani nchini atakae ungwa mkono na upinzani kwa kauli moja, ili awe Naibu Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

Na je, ataweza kusimamia maslahi mapana ya upinzani serikalini kwa usawa na kubeba matumaini ya waTz kimaendeleo hususani kutoka kwenye wizara watakazo zisimamia?.

Na je, mgawanyo wa wizara unaweza kuwa kitulizo kwa upinzani, mathalani kila Chama kikapata waziri1, au Naibu waziri1, au katibu mkuu1 au Ukuu wa miongoni mwa mashirika ya umma au taasisi za umma?

Friends ladies and Gentlemens,
Vyama vya kiraia, taasisi za dini na makundi maalumu hayajasahaulika ktk mpango huu kabambe.

Kwakua nao pia ni wadau wa kubwa ktk maendeleo ya nchini na hawakusahaulika kwenye mchongo huu muhimu unaonukia.

Wanayo nafasi pia.

Let's wait and see the results of the on going very confidencial, secret and high profile meetings among gov and opp officials on the process of transforming the country into prosperity destination in a very solidified unit among Tanzanians.

Haya ni matokeo ya awali ya maridhiano aliyoyaanzisha mkuu wa nchi mara tu baada ya kula kiapo miaka miwili iliyopita.
Si mnakumbuka kwenye maridhiano kuna zile R nne za motheri alizoanzisha ili kufikia muafaka wa pamoja?

Hivi sasa utekelezaji wa ile R ya tatu na nne ndio upo🔥 kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji baada ya zile R nyingine mbili za mwenzo kuzaa matunda mema.
Reconciliation 🌷
Resilience 🌹
Reforms🔥
Rebuilding🔥

Tanzania ni Yetu Sote, hakuna mwenye hati miliki ya Tanzania.
Tunajenga nyumba moja kwanini tunyang'anyane fito!!! Njooni tuijenge Tz pamoja..

Until next time.......

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu wabariki viongozi wote wa Dini na Serikali.

Ee Mwenyezi Mungu awabariki pia wale wote wenye nafasi katika jamii kuwasaidia wasio na nafasi kwa upendo,haki na usawa.Amen.
 
Kila kitu umeandika Huenda huenda.........kweli hii ni yetesi umebumba mwenyewe
 
Umetumwa kupima upepo,

SUK zenj ni mfano hai, CCCm wanakiuka makubaliano wazi wazi wakiwa ndani ya suk.

Maridhiano pekee yenye TIJA ni:

1. Ccmmm viongozi kujitenga na biashara wawapo sirikalini.

2. Sirikali isitekwe na matajiri maslah binafsi.

3. Maridhiano Bora ni wakulima kupewa ruzuku ya mbolea Bure.

4. Maridhiano Bora ni kuheshimu Sanduku la kura. Matokeo ya Urais yahojiwe mahakamani.

5. MAONI ya wananchi juu ya Rasimu ya Warioba yafanyiwe KAZI.

6. Maridhiano ni kuacha kutorosha wanyama wetu na kuepuka kuuza bandari zetu, urithi wetu.

7. RUSHWA na wizi wa raslimali za Taifa ukomeshwe, hayo ndo maridhiano wananchi wanataka.

Nitarejea.
 
Waziri Mkuu atatoka upinzani, halafu Naibu waziri Mkuu atatoka utawalani kama hii trial ikienda sawa.

Nilichojifunza mara zote kwenye naibu waziri Mkuu ni maandalizi ya kama utawala ukabadilika.

Ila isitokee Spika wa Bunge akawa mpinzani italeta shida kwa serikali na itakayokuwa ilani yao ya chama.
 
Nilichojifunza mara zote.kwenye.naibu waziri Mkuu ni maandalizi ya kama utawala ukabadilika.

Ila isitokee Spika wa Bunge akawa mpinzani italeta shida kwa serikali na itakayokuwa ilani yao ya chama.
nakubali mkuu wacha tusubiri hili jaribu
 
Wanajamvi Salam,

Katika siasa hakuna kinachoweza kutokea kwa bahati mbaya.

Kila jambo katika siasa hubuniwa na wabobezi na kupangwa kwa ustadi mkubwa kupindukia, na halafu huchakatwa kwa umahiri sana na kisha hutekelezwa na wataalamu kwa umakini na weledi wa hali ya juu mno ili kusudi, malengo na madhumuni mahususi ya kisiasa yaliyo dhamiriwa , yaweze kufanikiwa na kufikiwa kwa uhakika na ufanisi usio na shaka.

Rafiki zangu humu jamvini, Ni suala la muda tu.

Kubuniwa na kuundwa kwa nafasi na ofisi ya Naibu waziri mkuu hakujaja hivihivi tu, kuna lenga kuyafikia malengo mahususi ya kisiasa, na hiyo ni sehemu tu, ya maandalizi lakini pia hiyo ni nafasi maalumu ya upinzani ndani ya serikali ya umoja wa kitaifa inayonukia.

Licha ya nia jema ya kuliunganisha Taifa kupitia jambo hili, usiri mkubwa na ulinzi mkali vimetanda kiasi kwamba, imekua vigumu kubainisha wazi kwamba ni lini hasa serikali hii ya umoja wa kitaifa itaanza rasmi.

Je, ni baada ya tu ya maandalizi kukamilika?

Je, ni kabla au baada ya uchaguzi mkuu 2025?

Nikifanikiwa kupenya kwenye ule usiri sintasita kuwatonya mandugu zangu.

Yote haya yanayotokea hivi sasa ni maandalizi kabambe ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, SUK-JMT or Unity Gov.of United Republic of Tanzania -UGURT).

Subra ni muhimu sana katika tetesi hii na muda muafaka itadhihirika tu my friends.

Tayari jambo hili linaungwa mkono na lina baraka za Jumuiya za kimataifa.

Na huenda Tz ikanufaika pakubwa kisiasa, kiuchumi na kijamii endapo Jambo hili litafanikiwa na litatekelezwa kulingana na matarajio ya wengi hususani Jumuiya hizo za kimataifa na wadau wa Maendeleo duniani.

Maandalizi haya ambayo sote tumeyashihudia.

Ni jukumu sasa la alieteuliwa Naibu waziri mkuu, kuhakikisha anaipanga ofisi hii na inakamilika kimuundo, idara, wafanyakazi, malipo na posho zao, lakini zaidi sana job descriptions kwa ajili ya kiongozi atakae kuja kuitumia ofisi hiyo wakati muafaka.

Haya yote yanafanyika ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya kiongozi huyo ambae inasemekana atapendekezwa na upinzani na kuteuliwa na Rais ili aweze kushika wadhifa huo mkubwa na muhimu na kwhiyo anatakiwa kuikuta na kuitumia ofisi hiyo ikiwa iko katika ukamilifu wake kimuundo na kimfumo.

Na hivyo basi nafasi ya Naibu Waziri Mkuu ni maalumu na mahususi kwa ajili ya opp, pale ambapo maandalizi ya serikali ya umoja wa kitaifa itakapokua tayari kwa wakati muafaka.

Maandalizi ya kisheria na kiutaratibu ili kuipa nguvu na uhalali wa kisheria wa kuwepo kwake yanaendelea kupikwa kitaalamu.

Maandalizi mengine ambayo kwa wakati huu sio muhimu sana kuwekwa wazi kwasasa na kwamba yanaweza kuathiri mazungumzo baina ya gov na opp yanayoendelea huko chobingo na yamesitiriwa kwa umakini mkubwa na kwa utulivu huu ambao sote tunaushuhudia hususani kwa upande wa opp huenda yanaendelea vizuri in favor of them.

Maandalizi mengineyo ni pamoja na mgawanyo na muundo wa wizara ambazo zitaongozwa na upinzani.
Na ktk hili pia wapinzani waliopo kwenye meza ya mazungumzo nao wamekua wagumu kutoa neno juu ya hili.

Wakati muafaka nadhani nalo litakua kwenye puplic domains, let's be patient, calm and wait.

Mniwie radhi, kutumia kiswanglishi kidogo kwenye makala hii, maana nipo kwenye dalala ya Mbagala-Kawe muda huu nimekosa siti, nimesimama lakini hata hivyo nimebanwa hadi najikuta nawaza na kuandika kilugha chetu na English. Samahan sana ndugu zangu.

Nikimalizia tetesi hii muhimu kwa maslahi mapana ya umoja na mshikamano wa Taifa letu.

Friends, ladies and Gentlemens,
Mtihani mkubwa ambao utazikumba pande zote mbili kuja na muafaka wa pamoja yaani upande wa gov na opps.

Je, the ruling party committees na wanachama watakubaliana na hili la SUK-JMT? 😳

Vipi upinzani nao?🤔

Kwa uchu, ubinafsi na tamaa ulioko opp, kuna atakae kubali kupigwa baridi nje ya serikali hii ya Umoja wa kitaifa inayonukia?😜

Mtihani mwingine ni kwamba, ni mzalendo gani, anae aminika na kukubalika miongoni mwa viongozi wa upinzani nchini atakae ungwa mkono na upinzani kwa kauli moja, ili awe Naibu Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

Na je, ataweza kusimamia maslahi mapana ya upinzani serikalini kwa usawa na kubeba matumaini ya waTz kimaendeleo hususani kutoka kwenye wizara watakazo zisimamia?.

Na je, mgawanyo wa wizara unaweza kuwa kitulizo kwa upinzani, mathalani kila Chama kikapata waziri1, au Naibu waziri1, au katibu mkuu1 au Ukuu wa miongoni mwa mashirika ya umma au taasisi za umma?

Friends ladies and Gentlemens,
Vyama vya kiraia, taasisi za dini na makundi maalumu hayajasahaulika ktk mpango huu kabambe.

Kwakua nao pia ni wadau wa kubwa ktk maendeleo ya nchini na hawakusahaulika kwenye mchongo huu muhimu unaonukia.

Wanayo nafasi pia.

Let's wait and see the results of the on going very confidencial, secret and high profile meetings among gov and opp officials on the process of transforming the country into prosperity destination in a very solidified unit among Tanzanians.

Haya ni matokeo ya awali ya maridhiano aliyoyaanzisha mkuu wa nchi mara tu baada ya kula kiapo miaka miwili iliyopita.
Si mnakumbuka kwenye maridhiano kuna zile R nne za motheri alizoanzisha ili kufikia muafaka wa pamoja?

Hivi sasa utekelezaji wa ile R ya tatu na nne ndio upo🔥 kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji baada ya zile R nyingine mbili za mwenzo kuzaa matunda mema.
Reconciliation 🌷
Resilience 🌹
Reforms🔥
Rebuilding🔥

Tanzania ni Yetu Sote, hakuna mwenye hati miliki ya Tanzania.
Tunajenga nyumba moja kwanini tunyang'anyane fito!!! Njooni tuijenge Tz pamoja..

Until next time.......

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu wabariki viongozi wote wa Dini na Serikali.

Ee Mwenyezi Mungu awabariki pia wale wote wenye nafasi katika jamii kuwasaidia wasio na nafasi kwa upendo,haki na usawa.Amen.
Maneno meeengi. Pumba tupu
 
Waziri Mkuu atatoka upinzani, halafu Naibu waziri Mkuu atatoka utawalani kama hii trial ikienda sawa.

Nilichojifunza mara zote kwenye naibu waziri Mkuu ni maandalizi ya kama utawala ukabadilika.

Ila isitokee Spika wa Bunge akawa mpinzani italeta shida kwa serikali na itakayokuwa ilani yao ya chama.
Katiba hairuhusu hiyo kitu.
Kwa mujibu wa Katiba, chama chenye wabunge wengi ndicho kitatoa Waziri mkuu.
Na Waziri mkuu atatokana na mbunge wa kuchaguliwa jimboni.
Kwa bunge la sasa chama chenye wabunge wengi ni CCM.
 
Muda wa kusoma gazeti lote hilo la jambo la kipuuzi utatoka wapi?

CHADEMA wakikubali ujinga wa namna hiyo watakuwa ni chama cha ajabu kabisa.

Sasa bila CHADEMA kushiriki katika ujinga huo, hiyo 'coalition' itakuwa na maana gani?

Samia alipokuwa amemnasa Mbowe, angeshikilia hapo hapo; lakini Mbowe aliporudi ndani ya chama chake na kukuta hali haimruhusu kufanya ujinga huo, akili zikamrudia.

Wewe umetumwa kujahapa kueneza upupu, lakini nguvu za upupu huo zilshafifia siku nyingi; na hasa baada ya Samia kuwaingiza waarabu wake katika kutupeleka utumwani huku tukiwa macho kabisa!

Kawaambie hao wajinga waliobaki humo ndani ya CCM wajiandae tu kwa maumivu kwenda mbele.
 
Mbowe hatoshirikiana na Shetani
Nakubaliana na wewe.

Mbowe ile sumu aliyonyweshwa wakati akitoka gerezani imekwisha nguvu siku nyingi, hasa aliporudi chamani na kukuta kama yeye ni mgeni vile; akili iliyokuwa imemruka ikamrudia haraka.

Akithubutu tena kwa njia yoyote ile kuonja ile sumu tena, ataipoteza CHADEMA moja kwa moja, au atapeleka debe tupu huko CCM na kuiacha CHADEMA Ngangari ikisimama kijasiri kabisa kuyakabili haya makupe.

CHADEMA haiwezi kuwa sehemu ya uchafu huo unaozungumziwa hapa.
 
Back
Top Bottom