The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 3,444
- 8,297
Katika awamu zote zilizopita tulishuhudia mawaziri waliojizolea sifa na kukubalika na wananchi zaidi.
Kiasi ambacho ilifika mahali wakaonekana tishio kwa wakubwa zao. Mfano tu unaweza kuongezea kama nitakuwa nimesahau.
1. Awamu ya kwanza ni waziri mkuu Moringe sokoine.
2. Awamu ya pili sikumbuki sana ila ni huyu Lyatonga Mrema.
3. Awamu ya tatu, Lowasa na Magufuli.
4. Awamu ya 4 ni yule mwamba
Magufuli.
5. Awamu ya Tano Raisi. waziri mkuu na Dkt. Gwajima.
6. Awamu sita wote wana hololoja.
Shida iko wapi mawazri wote kuwa butu awamu hii?