Mbatia ametoa rai kwa Rais samia /serikali kuwa isiwekeze shiling 125 billioni kuimarisha uovu, badala yake iziweke kwenye kuendeleza maisha ya watanzania. Ametoa mfano, zikiwekezwa Muhimbili...
Professor wa Uchumi Haji Semboja amekemea tabia ya kutosema ukweli Kwa watu wa Serikali Kwa kimdanganya Rais kuhusu Haki halisi ya uhaba wa Dola na upataiknaji wa mafuta Nchini.
Swali;
Waliosema...
Huyu kumbe niwakumpuuza. Inaonekana hayupo huru kwenye kazi yake maana Habari kubwa kama za mkutano wa ngorongoro Leo wa tundu lissu huwez kuacha kuripoti. Sio yeye tu ni asilimia tisini na tisa...
George Michael Uledi.
September 5, 2023.
Miaka mitatu pekee ya kufanya active politics Nchini imetosha kumuibua mashine ya Mufindi Kusini Mhe. David Mwakiposa Kihenzile kwenye kundi la Vijana...
Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater.
Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema nchi imeandika historia mpya kwa kuwakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319...
Hii nimeiona ITV habari. Mama kakasirika mkuu wa wilaya kufanya uzembe kwa wananchi kurudisha kadi za chama kisa Mtwara wengi ni upinzani.
My Take: Tuendelee kupambana!
=========
Rais Samia...
Idara ya Uhamiaji, imemfikisha mahakamani Kada maarufu wa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Iringa, Michael Mlowe kwa tuhuma za kuishi nchini bila kibali na kutoa taarifa za uongo kuhusu uraia...
Mkutano wa 18 wa Nchi wanachama wa Mkataba wa CITES (CITES COP 18) umeanza tarehe 17 Agosti 2019, Geneva, nchini Uswisi. Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaongozwa na Mhe. Dkt. Hamisi...
Flashback...1977
Mwaka 1977 iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ilivunjika na mali zilizokuwa za Jumuiya hiyo pamoja na stahiki za nchi zote tatu (Tanzania, Kenya na Uganda)...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amepongezwa na kundi la Vijana nchini ambao ni Wadau katika Sekta ya Kilimo kwa Uthubutu wake wa kufanikisha kufanyika kwa mkutano...
Nimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa!
Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi.
Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana...
Akizungumza mbele ya maelfu ya wananchi kwenye mkutano Mkubwa wa hadhara , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , amesema kwamba , Tangu aliposhambuliwa kwa Risasi hakuna yeyote aliyekamatwa wala hakuna...
Ni ukweli mchungu lakini Ndivyo walivyokuwa wapigania Uhuru wa Afrika kusini ya Sahara
Ukimsikiliza Mdude anavyoongea utagundua ana kitu ambacho 99.9% ya Vijana wa leo wa Tanzania hawana Labda...
Huyu ndugu tulikuwa naye kwenye mapambano. Asitelekezwe.
CHADEMA kama chama kilicho dhamiria kuikomboa nchi hii kinapaswa kuwa na sera ya wazi kuwahusu wahanga wake.
Kuwa na mfuko kwa ajili ya...
Heshima kwenu wanajamvi,
Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika.
Rais wa awamu ya pili Mzee...
Tulitakiwa kushtushwa na mikataba ya Loliondo na Ngorongoro kabla ya huu wa bandari.
Maeneo hayo ameshapewa mwarabu bure kabisa, Masai wamefukuzwa na wanafukuzwa japo walikataa na wanakataa.
Kwa...
Habari wanajamii
Kwa mujibu wa katiba yetu inayotumika hadi sasa ukomo wa kugombea nafasi ya urais ni miaka 10 kwa kila kiongozi ikiwa ni awamu mbili yaani uchaguzi wa raisi kila baada ya miaka...
MRADI WA UMEME WAKAMILIKA
Wakazi 4,500 kunufaika na umeme wa gridi Makete, Njombe Tanzania. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Nishati Lutheran (DKK) wakati wakiwasha mitambo ya umeme wa mradi huu...
Asalaam Aleykum wapenzi wana JF wenzangu.
Kati ya vitabu vigumu kabisa kuvielewa ni pamoja na vitabu vya Hayati Shaaban Robert na Mkerewe mmoja aliyekuwa anaitwa Euphrase Kezilahabi (kwa sasa...