Kwa watanzania wa sasa hakuna watu wawili wanaheshimika kama Mzee Warioba na Lissu kwa uzalendo wao uliopitiliza kwa taifa.
Cha kusikitisha waliopo madarakani hata awamu za nyuma wanafikiria...
Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM amesema uchaguzi wa mwaka 2025 ulionekana kuwa ni wa kati ya Jeshi la Polisi na vyama vya upinzani, akidai kuwa vyombo vya...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Ludovick Utouh, amesema mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) umekuwa ukipingwa kimyakimya na baadhi ya watendaji...
Yawezekana mbeleni wale wanaojificha kuukwepa mkono wa sheria za mabavu ya Serikali iliyoko madarakani ndo baadae wakashika madaraka !
Yawezekana hapo baadae tunaowa abudu madarakani itatokea...
Ripoti ya Tume ya Jaji Chande ilitambua kuwa taasisi za kidini zilicheza jukumu muhimu na chanya wakati na baada ya ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Viongozi wa dini mbalimbali walilaani...
๐๐ธ๐. ๐ ๐๐ถ๐ด๐๐น๐ ๐ก๐ฐ๐ต๐ฒ๐บ๐ฏ๐ฎ: ๐๐ถ๐ผ๐ป๐ด๐ผ๐๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ถ, ๐๐ฎ๐๐ถ ๐ป๐ฎ ๐ ๐๐ฎ๐น๐ฒ๐ป๐ฑ๐ผ ๐ฎ๐๐ถ๐๐ฒ๐ฐ๐ต๐ผ๐ธ๐ฎ
Mussa Saidi-Dar es Salaam
Katika kipindi cha siku chache tu, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
Kwa waliopata nafasi ya kuyasikiliza mahojiano ya Jaji Joseph Sinde Warioba na mwandishi wa habari nguli, mzee wetu Jenerali Ulimwengu, watakubaliana na mm kuwa hayakuwa mahojiano ya kawaida...
Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM amesema Viongozi wa Dini wana haki kama viongozi wengine" Sheikh Ponda Issa Ponda Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Kisenge, amewataka Watumishi wa Wizara ya Fedha na wananchi kwa ujumla kuwa makini na taarifa zisizo sahihi kuhusu lishe...
Wakuu hali inazidi kuwa mbaya, kila kitu ni kilio bei juu, Gesi ya kupikia imepanda, mafuta ya kula yamepanda, mafuta yamepanda na sasa na Dangote kapandisha Sementi kisa gharama za usafiri sijui...
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Serikali inaendelea kusimamia na kuimarisha vyuo vya mafunzo vya kisekta vilivyo chini ya Wizara hiyo ili kuhakikisha sekta ya uchukuzi na...
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni...
Uwa siandiki Mara nyingi
Kumbukeni wananchi
Chama kilijengwa kwa jasho na damu za watu! Na tukapata legitimacy kukemea kila kitu, tukakatishwa tamaa 2015 baada ya ujio wa Lowassa kugombea...