Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,052
- 14,677
Natoa Pole za Dhati kwa CHADEMA kwa kuondokewa na mwanafamilia ambaye alikua dereva wa Dereva wa John Heche Kama ni Dereva wa John Heche na Mtu Wa mwisho kuonekana na Marehemu ni John Heche hakika awaridhishe polisi kwanini hausiki katika mauaji hayo. Jeshi la Polisi walitakiwa mpaka sasa wawe wanamshikilia John Heche kwa upelelezi wa mauji ya dereva wake kuna principle moja inasema
Pia soma TANZIA - Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma
“In a criminal investigation, being the last person to see a victim alive is the most critical starting point for police. Such an individual automatically becomes a person of interest and will face intense scrutiny”
Pia katika kesi ya Mathayo mwalimu na mwenzake dhidi ya Jamhuri mahakama ilisema. CAT 2008
UPDATE:
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma amesema wameanza uchunguzi wa Kifo cha Mashaka cha aliyekua Dereva wa John Heche